Recent content by f_m

  1. f_m

    Wakala wa Mtandao wa Serikali (EGA) ni wakati wenu kujipambanua

    Ni wakati wenu EGA kuonesha uwepo wenu katika serikali ya JPM. Serikali iko kwenye mapambano dhidi ya COVID 19 inayopelekea mawasiliano kufanyika kwa njia ya mtandao. Nashauri muanzishe mawasiliano kwa kutumia group kama za whatapp ili kuwezesha vikao(onlinemeeting). Pia muanzishe app...
  2. f_m

    Wakala wa Mtandao wa Serikali (EGA) ni wakati wenu kujipambanua

    Ni wakati wenu EGA kuonesha uwepo wenu katika serikali ya JPM. Serikali iko kwenye mapambano dhidi ya COVID 19 inayopelekea mawasiliano kufanyika kwa njia ya mtandao. Nashauri muanzishe mawasiliano kwa kutumia group kama za whatapp ili kuwezesha vikao(onlinemeeting). Pia muanzishe app...
  3. f_m

    Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    Ip man 1 Ip man 2 Ip man 3 Head shot Undesputed 2 Undesputed 3 Kung fu killer
  4. f_m

    Kuota unataja jina la mwanamke bila kujijua

    Naomben ushauri nimeota nataja jina la mwanamke ambaye siko ukaribu nae sasa mama watoto kanuna anaona mpaka nyumban apakaliki naomba ushauri nifanyeje
  5. f_m

    Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Kama unatumia android tumia videoder https://videoder.en.uptodown.com/android Sent from my iPhone using JamiiForums
  6. f_m

    Jinsi ya kufanya computer yako iwe na speed pale utumiapo

    Thanks Sent from my iPhone using JamiiForums
  7. f_m

    SPSS

    Habr wana jamvi naomba wale wataalam Tujuzane kuhusu uchambuzi wa data kutumia programm ya SPSS Sent from my iPhone using JamiiForums
  8. f_m

    Waziri Mkuu ataka kuunganishwa kwa Mamlaka ya Chakula na Dawa(TFDA) na Shirika la Viwango nchini(TBS)

    Perfect sasa viongoz wetu wanaona Sent using Jamii Forums mobile app
  9. f_m

    Naomba msaada kwa wastani gharama za ufundi wa nyumba ya vyumba 4

    Wadau, Naomba msaada, Kwa wastani gharama za ufundi wa nyumba ya vyumba 4 kwa standard ya kawaida kuanzia kwenye kupandisha ukuta hadi kukamilisha lenta, je gharama za ufundi uwa ni shilingi ngapi kwa wastani au kuanzia ngapi mpaka ngapi? Msaada plz wanajamvi
  10. f_m

    Iphone 6s for sale!! New

    Nauza iphone 6s (16gb) mpya imetumika 2 months ina kila kitu, charge na earphone original, chek me for serious buyer 0762243055
  11. f_m

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Hivi mkuu kujenga msingi wa nyumba ya vyumba 4 vya kulala (kimoja master) dining, public toilet, sebule, store, jiko. je matofali ya msingi yanaweza kuwa mangapi kwa wastani na mifuko ya sementi mingapi?.
  12. f_m

    Kuitwa kwenye Usaili NHIF

    Formality hamna kitu hapo
Back
Top Bottom