Hakuna nchi inapata maendeleo bila kuwa na shirika la ndege lenye nguvu. Naipongeza serikali kwa hili. ATCL inatakiwa ijiimarishe kwanza katika safari ambazo makampuni mengine hayazifanyi kama route ya kigoma kwa kutumia Q400 (abiria 78 speed kama ya jet tu) halafu kwa kutumia ndege hiyo kuingia...
Pia niko pugu marneo ya sekondari. Kuna majirani zangu wamechimba around mita 100 lakini maji yanachumvi kali sana. Maji wanayopata hayafai labda kuflashi choo tu. Nataka kujua pia je kuna uwezekano wowote mimi nikichomba kupa maji tofauti na hayo?
Nawasalimu Umofya kwenu? Ninapenda kujiunga na kozi tajwa hapo juu evening class kwa hiyo nahitaji kujua yafuatayo.
1) masomo yanaanza na kuisha muda gani
2) ni siku ngapi ndani ya week kuna vipindi na ni zipi hazina.
3) walimu wako flexible kuaccomodate matakwa ya mwanafunzi mmoja mmoja...
Wazee ni tatizo kwenye serikali na taasisi zake. Unajua mtu akikaribia kustaafu ubora wa utendaji wake unapungua sana na anakuwa mtu wa kukusanya kila senti inayokatiza mbele yake.
Kukiwa na safari ya kimafunzo nje ya nchi atafanya kila hila aende yeye na matokeo yake darasani kunakuwa na babu...
Kuna plaster tu hivyo skiming bado. Ukubwa ni nyumba ya kawaida yaani ina vyumba vitatu vya kulala, study room, sebule, dinning room na store. Nahitaji kujua gharama ya ufundi tu sio vifaa. Thanks again
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.