Recent content by F11

  1. F11

    JamiiForums Tanzania Uswizi imepiga kura ya kuunga mkono marufuku ya kuvaa hijabu katika maeneo ya Umma

    Mwanao amekatazwa kuvaa hv?
  2. F11

    JamiiForums Tanzania Uswizi imepiga kura ya kuunga mkono marufuku ya kuvaa hijabu katika maeneo ya Umma

    Umgetumia maneno ya mazuri ungeeleweka jitahidi kuandika kwa staha sawa kijana
  3. F11

    JamiiForums Tanzania Kituo cha BBC chatuhumiwa kuchochea chuki na ubaguzi dhidi ya Wanawake wa Kiislamu Nchini Uingereza

    Kumbe ndio maana walitoa ule waraka wa kuwasifu wanawake wa kiislamu ili walizime hili joto.
  4. F11

    JamiiForums Tanzania Wanne wapandishwa kizimbani kwa uhujumu uchumi

    Mbona unatoka Nje Ya Mada?
  5. F11

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku shughuli za kibinadamu katika maeneo ya hifadhi

    Hili pia ni uporaji wa Ardhi kwa wamiliki wa Asili Pasi Na Kuwapa Fidia Ila Wanawapa Vitisho
  6. F11

    JamiiForums Tanzania Jifunze na uyajue madhara ya unyakuaji wa ardhi

    Hili Suala La Uporaji Wa Ardhi Kwa Wamiliki Wa Asili Pasi Na Kuwapa Fidia Ni Baya Na Pia Linapelekea Jamii Nyingi Kujiona Hawana Haki Kwenye Hii Dunia
  7. F11

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya yasema bima ya NHIF haiwezi kutumika kugharamia matibabu ya Corona

    Kumbe na Kenya nao ni NHIF au mwandishi Amechanganya mambo
  8. F11

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mwalimu Duniani: Wizara ya Elimu yafuta rasmi mafunzo ya Ualimu wa shule ya msingi na awali ngazi ya Cheti Tanzania

    Uamuzi upo mkononi Mwako Tarh28="Tate Mkuu, post: 36908456, member: 535381"] Taarifa mbaya hii kwa sisi tulio omba maombi ya ajira ya ualimu Serikalini mwezi uliopita tukitumia hivi vyeti vyetu vya Grade A. Magufuli tuokoe baba! Tutaangamia mtaani.
  9. F11

    JamiiForums Tanzania Songea, Ruvuma: Watu 71 wanusurika kifo kwa kunywa togwa kwenye sherehe

    Yaan ww ni mjinga kabisa unawezaje kuwaita wenzio primitive
  10. F11

    JamiiForums Tanzania Achoma gari makusudi baada ya kushindwa kulipa deni la gari hilo

    Ww hilo basi limepakiwa kwenye semi trailer angalia vizuri acha kukosoa
  11. F11

    JamiiForums Tanzania Dada wa kazi adaiwa kuua mtoto wa mwajiri wake

    Haya MATUKIO ni matokeo ya matendo ya hao maboss wao.
Back
Top Bottom