ni kweli masomo yote yako o level lakin masomo ka general studies,economics, ni ya A-level,mim nimesoma history na political science as teaching subjects hence obviously ps huwa inakua either civics kwa o -level or Gs kwa A-level hicho ndo nimemaanisha
habari wana jamvi,mimi ni miongoni mwa walimu wapya ngazi ya shahada kutoka UDSM nimepangwa mkoa wa MARA wilaya ya BUNDA ,naomba kujua je shule za high level zipo hapo maana nimepangwa masomo ya advance na ninapenda sana kufundisha advance,naombeni msaada lau nizijue kwa majina.asanteni
kufuatia kauli alotoa naibu waziri wa elimu kua ajira mpya za walimu ni january sawa,sasa nauliza je ni vigezo gani wizara inaangalia kuajiri walimu hao hao katika vyuo vya ualimu vya diploma?Tumezoea kua wanaosoma BED ndio wakufunzi wa vyuo na wanaosoma BAED wao hupelekwa secondary sasa je...
Hivi ajira mpya za sisi walimu wa digrii tulomaliza mwaka huu mwezi june ni lini ama hizo post za vituo..na walomaliza diploma pia ni lini ajira zao..nawasilisha wakuu..
Nina imani nyote mu wazima,mie ni kijana wa kike mwenye shahada ya elimu kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam tawi la Mliman(Mwl Nyerere campus) nimemaliza Mwaka huu.Masomo nilospecialize ni History and Political science as teaching subjects.Nina uwezo wa kufundisha o level na A level.Nimewaomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.