Naomba kuuliza wadau wa elimu..

F 4 REAL

Member
Aug 16, 2012
19
0
Hivi ajira mpya za sisi walimu wa digrii tulomaliza mwaka huu mwezi june ni lini ama hizo post za vituo..na walomaliza diploma pia ni lini ajira zao..nawasilisha wakuu..
 
Nadhani itakuwa January kama mwaka huu..coz na mwaka jana wamefanya hivyo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom