Natafuta kazi ya kujitolea au ya kulipwa ya kufundisha kwa jiji la tanga.

F 4 REAL

Member
Aug 16, 2012
19
0
Nina imani nyote mu wazima,mie ni kijana wa kike mwenye shahada ya elimu kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam tawi la Mliman(Mwl Nyerere campus) nimemaliza Mwaka huu.Masomo nilospecialize ni History and Political science as teaching subjects.Nina uwezo wa kufundisha o level na A level.Nimewaomba mnifahamishe maana mazingira ya huku sijaya master sana..ASANTENI
 
Jaribu Eckernforde ni taasisi kubwa ya elimu huwezi kukosa nafasi yako esp. kwa wakati huu wengi 2nakwenda vyuoni..
 
Mbona naskia huyo mzee tarimo ni msumbufu sana?maana me nakaa huku kange karibu na university yake ntachek kama vp
 
Nina imani nyote mu wazima,mie ni kijana wa kike mwenye shahada ya elimu kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam tawi la Mliman(Mwl Nyerere campus) nimemaliza Mwaka huu.Masomo nilospecialize ni History and Political science as teaching subjects.Nina uwezo wa kufundisha o level na A level.Nimewaomba mnifahamishe maana mazingira ya huku sijaya master sana..ASANTENI

Mimi nina mtoto wa kaka angu form 3 uko tayari kumsaidia somo la Geograph na Histori?, Yupo form 3. Ukamfundishie nyumbani. Ni wa Kike
 
jaman kwanin yeye asinifate halafu geo siipendelei sina ingawa advance ndo comb yang me ni history,civics au general studies
 
Back
Top Bottom