Recent content by Ezo mimi

  1. E

    Rais Samia tahadhari na tulia kidogo. Kazi zako Ikulu anazifanya nani?

    Nyanda za juu kusini hatugawi kura Kwa kina Fulani, labda waibe.
  2. E

    Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

    Yaani huyo mdada Machoni kama mtu, this Dunia this!
  3. E

    Wimbo gani ukiusikia unakukumbusha magumu uliyoyapitia?

    #One day at The time_Lynda Randle. Dah Ile mistari mle ndani reminds me on my previous 😢 moment . ,,,#coat of many colors_Dolly Parton
  4. E

    Sina kazi nashinda na simu muda wote

    Mkuu uliadimika sana
  5. E

    Current weather in Makete tubanane tu hapa mjini

    Kwenye baridi ni Bora sana kuliko sehemu za joto, kwanza sehemu za joto wadudu ni wengi sana. Sikuwajua kunguni kabla ya kuondoka Southern highlands,,aisee duniani Kuna viumbe. Siku moja nitarudi home nikaishi huko.
  6. E

    Samia Suluhu baada ya kutembelea ziara Korea Kusini, wamarekani watoa uzushi

    Nawe unajiona ume-post Cha maana sana, kumbe akili Moja tu na huyo Bibi Yako.
  7. E

    Kizazi cha sasa ni kizazi jeuri na kiburi

    #Kuna mizee mingine ovyo kabisa, ukisalimia shikamoo Mzee utasikia "Mimi sio Mzee, Mimi ni brother" Mwingine ukimpa shikamoo utasikia "mambo vp, inakuwaje?"
  8. E

    Wakorea wanne kwenye kikao cha Watanzania 20

    Mara hapo ndani kikatokea kitu toka Kwa kiduku vuuuuuu!
  9. E

    Rais wa Palestina amsuta kiongozi wa dini wa Iran kuhusu vifo vya Wapalestina

    "Huyo kiongozi wa dini ya uislamu anayeongoza Iran alijitokeza na kusifia sifia Wapalestina kwa wao kujitolea kufa" Kumsifia mtu na huku anateseka? Mbona inasikitisha Sana duh
  10. E

    Korea kaskazini: Rais kim jong Un asema Africa itaendelea kunyonywa na ulayakupitia dini mpaka hapo watakapomtambua Mungu wao

    #Kwani yeye Kim Jong Un ana Nini sana Kwa kutofuata hizi dini za Africa? "Africa is for Africans"
  11. E

    Natafuta Meneja wa kunisimamia katika kazi zangu

    Mmmh! Kuvunja taratibu za kisarufi ni kwenye ushairi ndiyo inaruhusiwa. Moja ya upekee wa wa ushairi "poetry" ni huo. To break grammatical rules of language. Eg. "Forward they go" badala ya they go forward. Namuna badala ya namna Moreover; A title in literature ('n other writings) carry an...
Back
Top Bottom