Mkuu unadhani waliojiua walikuwaga hawana akili au?Ni kumuomba Mungu tu na pia kujifunza kutokana na makosa.By the way leo kanipigia mwenyewe asubuhi na pia ameniunblock.Ila ambacho hajui ni kuwa ameshajipunguzia credits nyingi sana kwangu.Kiukweli now it's all about me, myself and I.Nashukuru...
Pole sana mkuu,tupo wengi tunapitia hii hali kumbe.Mimi ninaishi mkoa mwingine na mke wangu,last week alinifanyia bullying flani hivi.Aisee sitaki hata kukumbuka,maana nilijikuta nimeenda sehemu nikanywa pombe halafu nikajaribu kujiondoa kwa njia mbalimbali zaidi ya mara tatu.Mungu...
Kusema ukweli nimedhamiria kabisa kwa dhati kuachana na pombe kwa ajili ya kuilinda afya yangu na ndoa yangu.Maana mke wangu hapatani na mimi kabisa kwenye suala la pombe.
Huu uzi auone Waziri Mchengerwa,una hoja za msingi sana.Asiishie kukaa tu na wasaidizi wake wizarani.Wajipange wapite kwenye halmashauri waonane na watumishi wenye kero sugu ili kuzipatia ufumbuzi.Mfano mdogo tu ni huu wa ulipwaji wa malimbikizo.Kweli uhakiki wa Malimbikizo uchukue miaka na bado...
Mtoa mada upo sahihi.Nashukuru Mungu kwa Sasa nimeoa.Kaka yangu alikuwa ananiambia kipindi ninasoma,kuwa tengeneza future yako.Wanawake watakuja wenyewe na utajichagulia chaguo lako.Mwanzoni sikumwelewa.Ila baadae nilithibitisha.Tafuta future yako!
Aisee Mimi ni mmoja wao.Nikiwa mzima nitakuwa nathaminisha uumbaji wa Mungu.Ila nikianza kupata kilauri sasa,halafu kuwe na vitamin music nageuka popo.Nitacheza music mwanzo mwisho.Mademu big noooooooo
Pole sana ndugu yangu.Naamini Mungu wetu ni mkuu,na hashindwi na jambo lolote llile Hivyo ni imani yangu kuwa atawapatia uponyaji ndugu zetu hao wanaoumwa,Amina!
Pole sana NAKADORI .Najua unayopitia kwa sasa.Mimi nilimpoteza mama yangu 30/7/2021 na jumamosi iliyopita ndio tulikuwa tunajengea kaburi lake.Kiukweli itachukua muda mrefu sana kwa upande wangu machungu ya kumpoteza mama yafutike,japo najua haitawezekana kamwe.Faraja pekee niliyonayo ni mke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.