Recent content by eze06

  1. eze06

    USHUHUDA: Hii ndiyo michezo hatarishi ya Kampuni ya Mafuta ya Oilcom

    Nakubaliana na hilo afu kitu kingine kwenye izi oilcom wana chakachua Sana mashine zao zakujazia mafuta haziko sawa
  2. eze06

    Makamishna wawili wa ZEC wasema hawatambui uamuzi wa kufuta matokeo

    Hapa ndipo napo kubaliana na aliesema watu achunguzwe akili kabla ya kupewa madaraka
  3. eze06

    Magufuli asiwe anahutubia kitaifa/kimataifa, atoe tu maagizo

    Fulaha yenu nikuona ujinga Una puuziwa
  4. eze06

    Magufuli asiwe anahutubia kitaifa/kimataifa, atoe tu maagizo

    Mkuu hakika hata ilivyo kua katika sinagogi yesu alipoingia nakukuta nyumba ya mungu imegeuzwa jengo LA bihashara basi Kama alivyo waambia Yale maneno na kuvuruga zile meza na kuwafungulia ndege na wanyama waende zake basi ndivyo hivyo vivyo rais jpm amelazimika kutoa hotuba Kali kwani nchi yetu...
  5. eze06

    Uzembe wa madaktari waua tena Hospitali ya DDH Bunda

    Kiukweli hili tatizo sio Mara ya kwanza au ya pili but imekua nimazoea hospital I nyingi zimekua ziki Fanya kazi kwa mazoea mabaya
  6. eze06

    Bodaboda auawa baada ya kukimbizwa na polisi/polisi jamii Tabata relini

    Wewe ni moja ya ndezi zilizopi tanzania
  7. eze06

    Bodaboda auawa baada ya kukimbizwa na polisi/polisi jamii Tabata relini

    Ina uma Sana uhai wa mtu unapopote akiwa anatimiza maandiko ya mwenyezi kwamba "mfanye kazi" af awamuhi Ina sema hapa kazi tu na haija chagua ni aina gani ya kazi sasa Kama huyo ndugu alikua muhalifu basi hata katika mazish asiombewe dua Bali aombewe hadhabu lakini Kama alikua anatafuta kwaajili...
  8. eze06

    Bodaboda auawa baada ya kukimbizwa na polisi/polisi jamii Tabata relini

    Watanzania wengi ni mandezi kweli kweli unajua kabisa uhai wa mtu nizaidi yahiyo kazi yako ya polisi sasa wewe una mkamata bodaboda kwakosa gani kubwa kwamaana ile pkpk haukumnunulia wewe na hakuna maelezo yoyote yanayo kataza pkpk zisiingie Tanzania sasa Kama mliluhusu pik pik kuingia...
  9. eze06

    Bodaboda auawa baada ya kukimbizwa na polisi/polisi jamii Tabata relini

    Acha kua namawazo yaki ndezi kwaiyo ulitaka afanye kazi gani nawewe hauwezi kumpa hata jero ya maji
  10. eze06

    Mrisho Mpoto nini maana ya nyimbo zako?

    Mjomba walau hata mstari mmoja tu nipatie maana yako "Sizonje" "..milango ipo wanapita madirishani..."
  11. eze06

    Kampuni 3 Zamtaka Mtoto wa Wema

    Subilini kuongopewa siwanawajua MTU huwezi pita njia usio jua inatokea wapi Bali unapita njia ukijua unatokea unapo pafahamu ...but ya mungu mengi.... Na lisemwalo lipo ....then at the end of day tutapeana kashifa ya uchawi..... Ni mtazamo tu....
  12. eze06

    Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

    Hii ni nchi sio banda kuku pia Kama hauna baby wakukupangia maneno basi umepotea HAPA KAZI TU
Back
Top Bottom