G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,596
- 36,018
Nashindwa kuelewa ni kwa nini kila Magufuli akihutubia ni lazima atoe kauli tata tena zilizokithiri! Hajawahi kuhutubia akatoka bila kutoa kauli tata iwe kuanzia akiwa waziri hadi sasa akiwa rais!
Kitu kingine inaonekana Magufuli hajui kabisa athari za kauli zake kama mkuu wa nchi! Kauli ya mkuu wa nchi inachukuliwa kwa uzito wake!
Wasiwasi wangu ni kuwa, siku akihutubia mikutano ya kimataifa itakuwaje? Maana sisi wa Tanzania tumezoea hayo hivyo tunaweza kupotezea! Wenzetu hawawezi kufanya hivyo!
Sasa ni wakati wa rais Magufuli kubaki tu ikulu na kutoa maagizo pamoja na usimamizi! Kwenye kuhutubia awaachie wataalam!