Mrisho Mpoto nini maana ya nyimbo zako?

eze06

Member
May 25, 2015
27
10
Mjomba walau hata mstari mmoja tu nipatie maana yako
"Sizonje" "..milango ipo wanapita madirishani..."
 
Huwa napenda mafumbo yake kwa jinsi alivyoyapangilia kiutamu japo sijawahi kuelewa na wala sijishughulishi kuelewa.
 
Mjomba walau hata mstari mmoja tu nipatie maana yako
"Sizonje" "..milango ipo wanapita madirishani..."
Nimeusikiliza huu wimbo...nadhan unazungumzia hali halisi ya maisha ya TZ au Africa.Watu hawapitii/hawatumii njia za halali kujipatia kipato.(milango ipo ,wanapita madirishani)
 
Back
Top Bottom