Recent content by Eyume Dedu

  1. Eyume Dedu

    Hivi vitu wanavyovalishwa Watoto Wachanga wa Kiafrika mikononi, viunoni na miguuni mbona navitafuta kwa wa Kizungu sivioni?

    Kumtoa mwafrika na kumkomboa kifikra ni shughuli ndugu wacha muda ufike wataamka wenyewe wajitambue Tamaduni zetu ni kila kitu kwetu back to the nature
  2. Eyume Dedu

    Hivi vitu wanavyovalishwa Watoto Wachanga wa Kiafrika mikononi, viunoni na miguuni mbona navitafuta kwa wa Kizungu sivioni?

    😂😂😂😂😂 Wa etu brainwashed ili tujiona kama tunavojiona hii kazi haijaanza leo ni muda mrefu Mfano wa nzi au ndege kuweka kwenye kopo ili asiruke na badae kifuniko kikatolewa akili ya ndege mpk sasa inaogop kupaa ikizani haiwezi Ukombozi wa kifikra ndo kitu tunahitaji
  3. Eyume Dedu

    Kutahadharisha kuhusu wimbi la tatu la Covid-19 bila kuchukua hatua stahiki ni kumpigia mbuzi gitaa

    Kama ingekua inaua sana nadhani tz mngebaki wawili wakati mwingine tujikite kuwaza mamb beyond media ugonjwa wako namba moja ni uoga wako wapo wanaokufa mwa malaria kila ukicha mbn hamtembei na vyandarua Kila utakacholetewa lazima ufikiri kwa kina kumsema kwa namna hiyo mwendazake kwa kuwa ni...
  4. Eyume Dedu

    Ratiba yako ya kwenda 'Site' ni ipi?

    Naimani ukiweka kufaulu mbele utatoboa sabab kila kitu kwenye haya maisha kipo ndani ya uwezo wetu so nikuamua sababu unaweza mimi nakuamini
  5. Eyume Dedu

    Kwanini duniani kuna watu weusi (black people) na weupe (white people) wakati asili yetu ni moja?

    Wanaoishi mazingira ya Afrika rangi zao mbn jibu unalo ila tunajitoa ufahamu kwa nn waAfrika weng mnakataa ukuu wenu kwa nn mnajikataa kwa nini mnakubali kudanganywa bila kufukiri kwa kina?
  6. Eyume Dedu

    Kwanini watu wa dini wanaepuka mijadala ya historia ya utumwa ya mwafrika

    Na ndmn nilisema sio wote sababu hata mimi kuna familia ninaifahamu ni wakarimu na nilikua nina urafiki nao.... Na kila sehemu jamii zao kuna wazuri saaaaana kuna wazuri wa kawaida na wabaaya sana.... That is my fact
  7. Eyume Dedu

    Kwanini watu wa dini wanaepuka mijadala ya historia ya utumwa ya mwafrika

    By the way tunamengi yakuongelea kama Afrika safari ndefu tuanze na sisi tujisahihishe turudi katika msingi wa wazee wetu kabla ya utumwa
  8. Eyume Dedu

    Kwanini watu wa dini wanaepuka mijadala ya historia ya utumwa ya mwafrika

    Nimewaonglea sababu ni wanatetewa ni wema sana mimi nimeishi nao ninazungumza ninachokijua nilichokiexprience Huwa sipendi kuzungumza mamb yakusadikika hata mimi kabla niliona wanasemwa nikajua ni uongo ila nimeshuhudia upumbavu wao Tena tuyaache yananichafua moyo
  9. Eyume Dedu

    Nifanye nini ili niongeze kipato changu?. Kwa sasa nipo nje ya nchi

    Ki ukweli kuna mudq tunajitoa sadaka tupate wote lakini kuna watu hawana wema ndugu yangu
  10. Eyume Dedu

    Kwanini watu wa dini wanaepuka mijadala ya historia ya utumwa ya mwafrika

    Tunachokizungumzia ni ubaguzi wa rangi ndugu Kila mahali maovu yanafanyika hakuna sehemu salama Wanatubagua hawatupendi sababu ya rangi wanatudharau.... Hakuna mtu anaeleta chuki ila tunazungumza ukweli na uhalisia wa mamb
  11. Eyume Dedu

    Nifanye nini ili niongeze kipato changu?. Kwa sasa nipo nje ya nchi

    Lengo langu kwenye msosi sitaki vya kigeni nahitaji kupika vyakula vyetu vya asili sabab havipatikani kwa wingi labda kuhusu juice ila hapo nipo vzr Thanks much nimebeba kitu kwako ✊🏻
Back
Top Bottom