Recent content by extra ordinary

  1. E

    JamiiForums Tanzania Asante Sana Waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu lakini......

    Sio kweli umeipindisha kidogo, mi nakumbuka ilikuwa ni kwa uzuri kabisa hilo suala la uniform, maana nakumbuka baada ya changamoto za pesa za uniform kutoka serikalini, busara ikatumika kuagiza vitambaa kupitia msd na kuwagawia ili atlest kusaidia hilo tatizo na ndo maana walipewa na wakashona...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mfuko bora wa pesheni ni upi kwa walimu watarajiwa?

    Soma hapa: www.issamichuzi.blogspot.nl/2013/10/mfuko-wa-pensheni-wa-lapf-wapongzwa-kwa.html?m=1
  3. E

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Angalia post yangu hapo juu kama unataka HD
  4. E

    JamiiForums Tanzania Dell

    Graphics card yake ni ndogo kwa hiyo game, jaribu kutafuta gemu dogo..la sivyo utakesha.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Msaada kaspersky internet security keys 2014

    Kas na kis 2014 hazina feature ya kua activate kwa kutumia keyfile.. Wameona wanachakachuliwa sana, kama unataka uendelee kutumia ya 2013 ndo key file zinapatikana ila kama kawaida jamaa huwa ni wachungu sana kwa product zao so, utakuwa waki kublack list unatafuta key file ingine tena.. Ingia...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Youtube video downloader HD ingia hapa: Youtube Downloader HD - Fastest Free Youtube Video Downloader
  7. E

    JamiiForums Tanzania Google to Pay Out $2.7 Million to Hackers Who Break Into Chrome OS

    Calling all hackers. Google is handing out the big bucks. Yesterday, the tech behemoth announced plans for its fourth annual hackathon (called Pwnium 4: "Pwn,"the act of breaking into a computer and owning it, + "ium," a play on the full name for Google Chrome: Chromium) which will take...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kubadili Shilling kwa Dola

    Kwa kifupi hapo, kama uko fiti unafungua bureau de cahnge yako ili uwe unanunua pesa direct kwa watu kwa bei ndogo na kuziuza kwa bei kubwa.
  9. E

    JamiiForums Tanzania msaada

    Uko poa tu, kunywa maji lita 2-3 kwa siku..
  10. E

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kuagiza vitu nje ya Tanzania

    Hapo safi,hata wenye mitaji midogo tutafanya biashara za china
  11. E

    JamiiForums Tanzania Karibu chinaworldbuz company.

    Safi sana, vipi mwanza mnakuja lini?
  12. E

    JamiiForums Tanzania power ISO

    Download hapa: softwarecrackworks.com/poweriso-5-7-full-keygen/
  13. E

    JamiiForums Tanzania Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

    Samahani, unaweza kujua specifications za hiyo mashine?
Back
Top Bottom