Asante Sana Waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu lakini......

Ndebile

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
8,246
Reaction score
12,789
Kwaniaba ya wauguzi wenzangu tunakupongeza kwa kutatua moja ya kero zetu za muda mrefu ambayo ilikuwa ni posho ya uniform. Mh. Waziri sisi wauguzi hasa wa vijiji tunateseka sana juu ya jambo hilo.

Pamoja na jitihada zako naomba binafsi nitoe ushuhuda wa jinsi hii posho ya uniform inavyotafunwa na wajanja wachache, nimekuwa mtumishi wa umma kama muuguzi kwa miaka 15 sasa ila kwa kipindi chote hiki nimewahi kulipwa posho hii mara 3 tu, na tatizo hilo sio Mimi peke langu bali wauguzi wengi tu.

Ukiacha kughushi sahihi za wauguzi ili ionekane wamelipwa( hii ni kawaida kwa Halmashauri ya Jiji la Mwanza na manispaazake) ipo mbinu ambayo wanaitumia hasa mganga mfawidhi na muuguzi mkuu wa manispaa ya Ilemela ya kwenda dukani na kununua kitambaa na kuwagawia wauguzi, hapa huwa wanatengwa kwa mafungu(divide and rule): registered nurses hupewa pesa na enrolled nurse upewa kitambaa mita nne, wenye miili mikubwa huwalazimu kununu kitambaa cha ziada ili kiweze kukidhi na kitambaa kinachotolewa ni cha kiwango duni, chepesi kiasi kwamba nguo za ndani za mvaaji zinaonekana hadi rangi.

Kwa imani kubwa tuliyonayo kwa serikali ya awamu hii ya tano, tuna uhakika mheshimiwa utafuatilia jambo hilo Kama tunavyoshuhudia timu yako uliyoituma Mwanza kufuatilia ubadhilifu uliofanywa kwenye kampeni ya chanjo ya surua ya mwaka 2014.
 
Sio kweli umeipindisha kidogo, mi nakumbuka ilikuwa ni kwa uzuri kabisa hilo suala la uniform, maana nakumbuka baada ya changamoto za pesa za uniform kutoka serikalini, busara ikatumika kuagiza vitambaa kupitia msd na kuwagawia ili atlest kusaidia hilo tatizo na ndo maana walipewa na wakashona kwa gharama zao,pia ilemela hakuna hospitali ya wilaya huyo mganga mfawidhi anatoka wapi? Au unataka kuchafua watu tu?
Kwa Magufuli kila goti litapigwa
Kweli

Ilemela ni manispaa na Ina mganaga mfawidhi wa manispaa ambaye ndiye mganga kiongozi wa vituo vyote vya afya na zahanati.
Hakuna sehemu MSD wanasupply uniform za wauguzi(rangi nyeupe) isipokuwa medical attendant ndio hupata vitambaa ambavyo sio vyeupe.
Kwa akili ya kawaida tu mkuu, jiulize ni kwanini jambo hilo la kununua vitambaa na kuwagawia wauguzi linafanyika katika manispaa moja tu ya Ilemela hata jirani zao wa Nyamagana hawana utaratibu huo? Wanatumia mwongozo UPI?
 
Back
Top Bottom