Recent content by exponential

 1. exponential

  Msaada: Nahitaji kujua kama haya mawe yana madini au la?

  nahitaji kujua kama haya mawe yana madini au la? Kama indiyo, ni madini aina gani? Soko lake likoje? Kutokana na Uchunguzi wangu niliofanya nahisi kuna madini ya mica " quartz "
 2. exponential

  INAUZWA Tekno S1 inauzwa

  Tshs 50,000/- Ipo Dar es Salaam, 0686648630
 3. exponential

  Computer4Sale Nauza Laptop, aina yaToshiba Satellite

  Aina- Toshiba Satellite Ram - 4Gb Hdd - 360Gb Webcam Bluetooth Wireless Cd/Dvd Writer Betri haikai na chaji, dakika 15 tu Bei Tshs 250,000 call 0686648630
 4. exponential

  Ubalozi wa Marekani wamkumbuka Mwl. Nyerere. Wasema "maendeleo ni watu sio vitu"

  Kuwa na maendeleo ya Vitu kwaajiri ya watu ni jambo jema pia ...
 5. exponential

  Simtaki mume wangu kabisa kimapenzi, akili yangu ipo kwa boyfriend wangu

  Uyo boyfriend wako nae akili zake ni kama zako, hamna akili hata kidogo.
 6. exponential

  Unapoambiwa na mwanamke kama unaniacha we niache tu we unaelewaje?

  Itakuwa mna ugomvi wa muda mrefu, labda ungetupa chanzo cha ugomvi wetu inaweza kuwa wewe ndiyo mwenye kosa alafu unataka ushindi...
 7. exponential

  Kujua kuongea sio kigezo cha kuwa msomi

  Uwasilishaji unaweza kuwa kwa njia ya maandishi au sauti, so wengine kwenye maandishi wako vizuri ila kuongea hawako vizuri.
 8. exponential

  Kujua kuongea sio kigezo cha kuwa msomi

  Kama mtu alisoma linguistic chuo, alafu bado hakijui vizuri kimombo maybe
 9. exponential

  Kujua kuongea sio kigezo cha kuwa msomi

  Fact!! Mimi sikuenda chuo kujifunza kiingereza, nilienda chuo kutafuta taaluma ya uhandisi!; Kiingereza ni lugha niliyozaliwa nayo ..
 10. exponential

  Wauza smartphone tukutane hapa

  Latop computer Aina Toshiba Ram 2Gb Haina kipengele Bei 350,000 0686648630
 11. exponential

  #COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

  Serikali imejitahidi hadi Sasa Kufanya inachotakiwa Kufanya juu ya Janga hili la Corona. Kwa Upande wetu sisi Wananchi naona bado tunapuuzia Kama desturi yetu Watanzania, Sisi tumekuwa watu wa Kuchukulia poa Vitu/Mambo yaliyo Serious. Huwa tunasubiri hadi Hali iwembaya ndiyo tuone Kwamba Jambo...
Top Bottom