Recent content by ExpertBroker

  1. E

    Natafuta kiwanja kilichopimwa

    Japo hujasema unatafuta wapi lakini kwa Dar es Salaam bei ya sqm moja si chini ya Tshs 10,000, ambapo kw asqm zako hizo 2,500 ni si chini ya Million 25,000,000! Kwa mikoani nako sidhani kama kuna kiwanja kimepimwa (japo sijui kama aulimaanisha kupimwa tu bila hati) si chini ya Shs. 5,000 kwa sqm...
  2. E

    Mchepuko umeninyoa ikulu, umenipiga picha na kumtumia mke wangu

    kwa huo muda na konyagi mbili, mara bia mara zanzi mbona sielewi
  3. E

    Inapangishwa ipo Mlimani city

    Hapo kwenye red!! Kuna tofauti kati ya Self contained room na Master Bedroom! Chumba kuwa selfcontained tu hakikifanyi kiwe master bedroom! Nyumba inakuwaje na Master bedrooms mbili? Unless the master himself ana wake wawili:teeth::teeth::teeth::teeth:
  4. E

    TSN Supermarket at Kibo Commercial Complex Tegeta, wanalipisha hela zaidi ya ile ya halali

    Kuna siku nilipata matatizo ya customer care TSN Supermarketlakini nilikuja kugundua hili ni tatizo la watanzania wote, na kwa maana hiyoni tatizo la wafanyakazi zaidi na wala si Policy ya kampuni. Katika jitihada zakumsaidia mwenye kampuni ambaye ni Mzawa na mtanzania mwenzetu, nilipiga nambaya...
  5. E

    Namba zinakataa: Hitler alipata wapi wayahudi milioni sita?

    Hapo nimekusoma na ndio maana wanasema all Jews are Israelites but not all Israelites are Jewish, sawa kabisa na kusema wasukuma wote ni Watanzania lakini si Watanzania wote ni wasukuma!!!
  6. E

    Ni nini kimeiangamiza shoprite. ?

    Mkuu shoprite wameshindwa kulisoma soko la Tanzania! Mwanzoni walipiga bao kwa sababu kulikuwa hakuna ushindani! Tatizo kubwa la Shoprite ni kwamba wame-fail katika products definition na market segmentation! Zaidi ya 70% ya products zao ni imported, kuanzia viazi, matikiti hadi vitunguu! Soko...
  7. E

    Nyumba Zinapangishwa Mbezi Mwisho

    Kuna water reserve tanks za kutosha kwa kila unit na kila nyumba ina LUKU metre yake
  8. E

    Nyumba Zinapangishwa Mbezi Mwisho

    Ni eneo la Mbezi Mwisho karibu na Mbezi Luxury Resort! Unawezapita Mbezi Kimara au Goba kupitia Makongo juu Vyumba vitatu, choo, jiko na sitting room, hizi ziko nne (Bei Shs 300,000 kwa mwezi) Vyumba viwili, choo, jiko na sitting room, hizi ziko mbili (Bei ni shs. 250,000 kwa mwezi) Vyumba...
  9. E

    Njia 3 za Kugundua Asali iliyochakachuliwa

    Waweza fanya mojawapo kati ya hio, it is your right kama mteja
  10. E

    Njia 3 za Kugundua Asali iliyochakachuliwa

    Ukitaka kugundua asali iliyochakachuliwa kuna njia tatu! Weka maji kwenye glass then tia tone la asali. Kwa asali isiyochakachuliwa, asali hiyo itaenda moja kwa moja hadi chini kwenye kitako cha glass Chukua njiti ya kiberiti, iloweke kwenye asali, ukiwasha lazima njiti iwake Chukua karatasi...
  11. E

    YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa

    Nashukuru kwa matatizo yangu mkuu, ila nafikiri jukwaa si lake peke yake, ndio maana wewe ukaona
  12. E

    Bilionea mwingine Arusha akutwa kafa chumbani

    Acha kupotosha watu na mipasho yako! Wewe uko kikundi gani cha taarabu! Hii hoja https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/496709-yes-tunahitaji-apartments-tanzania-lakini-si-kila-mkoa.html umeikimbia sasa unakosa hata pa kushika! Tuendelee na hoja yetu, na usifikiri kila ghorofa...
  13. E

    YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa

    Kila la kheri, asiyekubali kushindwa si mshindani!
  14. E

    YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa

    Thanks for the one who advised you as you had have started going astray!!!
Back
Top Bottom