Recent content by Expert911

  1. Expert911

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa Kaka: Hujapata mwanamke wa kuwa naye?

    Dunia imeshafika pabaya hii
  2. Expert911

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majibu ya damu yagundua mwanaume ana matatizo ya ugumba akiwa kwenye ndoa na watoto wanne

    Moyo wa mtu kichaka
  3. Expert911

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekubali kuachwa tena

    Mkuu 911 tunaweza mfanya kitu mbaya huyo manzi are ready
  4. Expert911

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nahisi mdogo wangu ana matatizo

    Stress
  5. Expert911

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekubali kuachwa tena

    Kuna watu bado mapenzi yanawatesa tu
  6. Expert911

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inawezekana kurudiana na mpenzi wa zamani na mkawa sawa kwenye mapenzi yenu?

    Mapenzi Sina hamu nayo kabisa Ila Cha kukushauri fanya kila unaloweza usiingie kwa miguu yote Kwa maana umeshapima urefu wa mto kwa miguu yote miwili hukuzama ukaponea chupuchupu Chunguza kwanza either anarudi 1.Shida zinamrudisha 2.Amegundua wewe ni mwenye mapenzi ya dhati kwake
  7. Expert911

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna inter Chelsea kidogo azingue ni vyema kutafuta market zenye low risk but zinakuwa na percentage kubwa ya win
  8. Expert911

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliniambia hutokuja kupata Mwanaume kama mimi

    Ni shidaa
  9. Expert911

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ogopa sana direct win
  10. Expert911

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake hulazimisha kulala na wapenzi wao hoteli za kifahari?

    Mkuu umetuaibisha sana wanaume ni bora ungekaa tu kimya
  11. Expert911

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda ila mawasiliano ni changamoto

    Akikujibu ni tag mkuu tuje tumshauri Smart911 Atakwambia hayanaga muongozo au formula
  12. Expert911

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua mdogo wangu ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu

    Inasikitisha sana vijana bado Wana penda kwa dhati
  13. Expert911

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Narudia tena ogopa sana direct win Tafuta mbinu afu stick nayo mhindi anapigika tu
  14. Expert911

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1635]
  15. Expert911

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    We are Liverpool
Back
Top Bottom