Watu hujigamba katika mambo wasiyoyajua vizuri. Watu wanatakiwa wajigambe kama kiongozi wao anaweza kuleta teknolojia inayopeleka maendeleo mbele. Sasa amekaa tu na kutoa tano eti hiyo ndo sifa!!!
Ila nawe ni zezeta kweli! Sasa hizo principles ulizosimulia hazipo kwani? Kama zipo na zinaoperate basi Yesu hakuwaaibisha hao maana zipo na zinafanya kazi.
Sema tu we ndo unaaibika unayeamini kitu cha kusimliwa. Hwezi tuthibitishia kwamba Yesu alipaa mbinguni. Ila unaweza thibitisha kwamba ku...
Alikuwa padre wa jimbo la Iringa kabla Mafinga jalijawa jimbo. Baada ya Mafinga kuwa jimbo akawa ni padre wa jimbo la Iringa. He is a good man namjua sababu tumesoma seminari Mafinga wote na baadaye tukawa walimu wote Mafinga seminari. Anastahilo sana. He is a humble man
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.