Jaman hiyo ni true say...nina rafiki angu mzuri sanaa alijiunga Na huo mtandao, akawa anadate Na wababa mnaweza mkakaa sehem anapigiwa simu atawaambia nusu saa narudi Na kwel akiondoka nusu saa huyoo Na tax anarudi.kwel anaonekana ametembea Na wanaume wengi sanaaa bad luck mwaka jana akapata...
Lait wangepatikana wanaume kama wewe japo 10 tuu kweli dunia ingekua salama.. hongera mkuu kwa kuonyesha uanaume shupavu...sio kizipu chako unakifungua kwa kila mwanamke.
Yote haya wanaume ndo chanzo... wanawake wana ulevi wa kupenda mpaka wanasahau kwao.. ila sasa suruali hazituliagi kabisa wala hazina kutosheka...kwa mtindo huu single mothers wanazid kuongezeka... NB:.LADY'S DON'T LOVE TOO MUCH.. wanaume wengi chenga. Bora upende kimtego mtego tuu potelea mbali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.