Mzee wa upako Athony Lusekelo mwezi wa tatu umefika je tujeandae na misiba?

viwanda

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
697
749
Nakumbuka katika maneno yako ukiwa kanisani kwako na waumini wako umekuwa ukisema wale waandishi wote waliokuandika vibaya kuwa ulipiga viroba nakutukana matusi majirani zako wote watakufa ifikapo March 2017.

Je tujeandae na misiba hiyo au unaenda kuuza GONGO kama ulivyosema?
 
Mkuu bado unamuamini au kuyaamini maneno ya huyu Mchungaji ?.
 
Atakwambia wamekufa kiprofessional,hawasikiki tena! Kisha waumini watashangilia kwa makofi...wengine wataenda mbele kumpa tano alafu pesa,atavunga halafu atacheki shng ngapi!akikuta teni atastuka na kumcheki vizuri alompa huku akiitia mfukoni!!! Hahahaha...mzee wa kupaka nakuona nakuona...ntakupigia badaee tukae maeneo yetuuu
 
Nakumbuka katika maneno yako ukiwa kanisani kwako na waumini wako umekuwa ukisema wale waandishi wote waliokuandika vibaya kuwa ulipiga viroba nakutukana matusi majirani zako wote watakufa ifikapo March 2017.

Je tujeandae na misiba hiyo au unaenda kuuza GONGO kama ulivyosema?
Na vile vipimo kule polisi kuonesha kua amelewa pombe anavikana? Kaazi kweli kweli.
 
Atakwambia wamekufa kiprofessional,hawasikiki tena! Kisha waumini watashangilia kwa makofi...wengine wataenda mbele kumpa tano alafu pesa,atavunga halafu atacheki shng ngapi!akikuta teni atastuka na kumcheki vizuri alompa huku akiitia mfukoni!!! Hahahaha...mzee wa kupaka nakuona nakuona...ntakupigia badaee tukae maeneo yetuuu
Kumbe Na wew unamwangaliaga eeee.... jamaa anapenda sana pesa
 
Msikilize hapo!
 
Attachments

  • VID-20170205-WA0002.mp4
    12.7 MB · Views: 30
  • Thanks
Reactions: dtj
Hapo anajipanga kuleta sababu za kwann hawakufa lusekelo agiza maji ya barid ntalipa
 
Hakawii kubadili gia angani, na kusema alikuwa anamaanisha "watakufa" Kitaaluma.
 
Sio wote wamwitao bwana bwana watauona ufalme wa mbinguni. Yaani kama wazazi walikuonyesha kanisa wanaloabudu na ukabatizwa usikubali kuhama imani yako eti Mzee wa upako Mara Gwajima Mara Lwakatare church to be honest ur lost.
 
Back
Top Bottom