Recent content by Excellent Training Center

  1. Excellent Training Center

    QT and RESITERS

    Asante. Licha ya kaso Asante, licha kasoro hizo wanafunzi wetu wanafanya vizuri pia, mlete rafiki au jirani yako.
  2. Excellent Training Center

    QT and RESITERS

    Karibu: neno ambalo zimezoeleka kutumika kwenye lugha zetu za huduma kama hizi (fuatilia kwenye maeneo mengine) ndio hii japo neno sahihi lipo. Aidha, kuhusu huduma zetu ni bora na rafiki kwa kila mmoja mwenye nia ya kupata Elimu kwenye mfumo huu. Masoma ninayo fundisha mimi Kiingereza hakimo.
  3. Excellent Training Center

    QT and RESITERS

    Karibuni excellent training center kwa huduma ya QT na RESITERs, Ada zetu ni nafuu sana na unalipa kidogo kidogo, Pia tuna huduma ya tuition kwa masomo yote.. Wasiliana nasi 0718949610, 0692755311
  4. Excellent Training Center

    NECTA, haya matokeo ya hii shule yanatia wasiwasi

    Bora tufanye kama zamani tu A ilikuwa 81 hivi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Excellent Training Center

    NECTA, haya matokeo ya hii shule yanatia wasiwasi

    Ina maana NECTA na mwanafunzi walitunga wote mtihani? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Excellent Training Center

    Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    Joka la Mudimu cha Prof Abdallah Safari Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Excellent Training Center

    QT NECTA results 2018

    Orodha hiyo wapo wanafunzi wetu waliosoma Excellent Training Center na kufanya mtihani wa QT 2018 miongoni mwao walipata taarifa zetu kupitia hapa Jamii Forum. Nakupongeza sana Rita Focus Masawe Julia Benedicto Matapani (wanafunzi wetu waliopatikana kupitia jamii Forum) Jiendeleze na wewe...
  8. Excellent Training Center

    The Government Property Agency

    China kuna Taasisi inayojulikana kwa jina "The Government Property Agency" GPA anayejua kazi mahusus za taasisi hii msaada please!! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Excellent Training Center

    Ujeruman

    Controversial plans to chop down a German forest to build a vast coal mine should proceed because Germany needs the polluting fuel to keep the lights on, according to the chief of the country’s state secretary for energy. Dozens of treehouses built and occupied by campaigners for years have...
  10. Excellent Training Center

    Bunge la Ujerumani: Serikali ya Tanzania inatakiwa kutafuta mbadala wa mabwawa kuzalisha Nishati ya Umeme

    Controversial plans to chop down a German forest to build a vast coal mine should proceed because Germany needs the polluting fuel to keep the lights on, according to the chief of the country’s state secretary for energy. Dozens of treehouses built and occupied by campaigners for years have...
  11. Excellent Training Center

    Bunge la Ujerumani: Serikali ya Tanzania inatakiwa kutafuta mbadala wa mabwawa kuzalisha Nishati ya Umeme

    Je tukiwaruhusu wasukuma na wamasai kulisha Mifugo yao mle? Napo watasemaje? TANZANIA is a sovereign state Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Excellent Training Center

    Lissu: Nimepata taarifa kwamba kuna mkakati unaandaliwa wa kunivua Ubunge

    Hauwezi kuwa Mbuge ukiwa nje ya Bunge, je katiba inasemaje kwa watu kama wewe? Naomba ufafanuzi Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Excellent Training Center

    Soma QT na Resittters 2019

    Mwaka 2018 Kwa maelezo haya machache wafanyakazi wa umma walikuja kwetu na kuanza kusoma QT imani yetu wanafanya vizuri kwenye matokeo yao. Muda wa masomo kwa mchana 9:00-2:00 na jioni 17:00-20:00 Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Excellent Training Center

    Pamoja na kuendelea kutafuta mpenzi/mume/mke :Jiendeleze Kitaaluma kwa waliokosa fursa ya Kuendelea na Elimu

    Soma QT na Resittters Kituo chetu kimekuwa ni kimbilio la waliowengi kupata Elimu ya sekondari walioikosa kwa sababu mbalimbali. Ni miaka mitano sasa tunatoa huduma hii muhimu katika ujenzi wa Taifa letu. Usione aibu, fika Ofisini kwetu Shule ya sekondari zanaki, piga 0692755311 au 0718 949...
  15. Excellent Training Center

    Soma QT na Resittters 2019

    Kituo chetu kimekuwa ni kimbilio la waliowengi kupata Elimu ya sekondari walioikosa kwa sababu mbalimbali. Ni miaka mitano sasa tunatoa huduma hii muhimu katika ujenzi wa Taifa letu. Usione aibu, fika Ofisini kwetu Shule ya sekondari zanaki, piga 0692755311 au 0718 949 610. Sent using Jamii...
Back
Top Bottom