ninamwenzangu ambaye yeye hayupo jf na ameniomba niliwasilishe hili kama anaweza kupata ushauri.Anaomba kujua jinsi atakavyoweza kuacha kufanya punyeto anatamani kuwacha lakini bado inakuwa ngumu,na pia ameanza kusikia maumivu kwenye magoti na anapo chuchuma yanalia kama vile ute umekwisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.