Recent content by evonik

  1. evonik

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

    aisee kwao ni mbali,
  2. evonik

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Majambazi wavamia maduka Bariadi, Walinzi wakimbia

    Tulishasau hizi mambo
  3. evonik

    JamiiForums Tanzania Vurugu zisizoisha kitongoji ninachoishi Afrika Kusini

    Polen sana kumbe ndo maisha hayo
  4. evonik

    JamiiForums Tanzania Nimepatwa na huzuni kuu baada ya kutangazwa majina ya walimu, nimekuwa nikijitolea bila mafanikio

    Mpe connection sasa, sio unaponda tu then unamuacha njia panda
  5. evonik

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu CWT asimamishwa, ni yule aliyekataa uteuzi wa Rais Samia

    Hao viongoz wapigaj tu, hakuna la maana wanalofanya zaid ya kugawa tishet na sakfu Cwt inaenda kufa shimon sasa, ni vile tu serikal imefumbia macho lkn kuna uozo huko Sasa walimu ujanja ni chama cha chakuhawata makato 5000/= only kuliko huko 2%
  6. evonik

    JamiiForums Tanzania Mwalimu aliyekuwa anaishi ofisini apata makazi

    Bora nitoe jicho eti?
  7. evonik

    JamiiForums Tanzania TMA mbona mpo kimya kwa hizi mvua za June?

    Watatolea mkuu bado ni baadhi ya maeneo sio pote penye mvua
  8. evonik

    JamiiForums Tanzania TMA mbona mpo kimya kwa hizi mvua za June?

    Ni mabadiliko tu ya hali ya hewa tu, mvua ilichelewa kuanza hivo inachelewa kwisha
  9. evonik

    JamiiForums Tanzania Simba SC watangaza kuboresha kikosi kuelekea msimu mpya 2023/24

    Anafunga magoli lkn yupo bench
  10. evonik

    JamiiForums Tanzania Sitegemei kuwaona hawa wachezaji wakivaa jezi ya Simba SC msimu ujao timua wote

    Sio hao tu na hw Nyoni Gadiel Banda Jimson Kennedy
  11. evonik

    JamiiForums Tanzania Simba SC watangaza kuboresha kikosi kuelekea msimu mpya 2023/24

    Vizur vina garama wakunali garama
  12. evonik

    JamiiForums Tanzania Wabara ondoeni shaka, ardhi ya SMZ Bagamoyo si sehemu ya Zanzibar. SMZ haina hati; limetelekezwa miaka 45 ila Zanzibar inamiliki kihalali

    "tukiruhusu kila Mtanzania kumiliki ardhi Zanzibar, itaelemewa na kuvizamisha visiwa vile" Ngachoka mavhalee kundesaa
  13. evonik

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Hilinti wa KKKT aomba Rais Samia awaongezee Waziri mwingine Mkoa wa Singida

    Nilimuoma mwigulu ameambatana na timu ya wabunge wa kutosha, na tena ameunda kamati ya miaka kumi mbele kusaidia kanisa ktk shughuli mbali mbali za kanisa
  14. evonik

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kupungua Mwili/ Kilo. Naumia sana

    Mchawi wa unene ni chakula, mazoez ni sehem ndogo sana ya kupunguza mwili, imagine unafanya maxoez then unakuja kula kile ulichopunguza kweny mazoez, Asubuhi kula ushibe ila mchan usile na usiku kula kidgo sana mf usiku unaweza kula chapat mbili ukalala Ila linda sana chakula ukifhibiti...
Back
Top Bottom