Recent content by Even MOre

  1. Even MOre

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kujenga naye familia❤

    Kwa umri huo tafadhali badilisha lengo isiwe NDOA tu, maana katika umri wako wato huko nyuma uli focus na ndoa ikashindikana maana sina uhakika kama hawakupatikana wanaume wema na wazuri kwako lakini ukweli ulio mchungu kwa sasa wanaume wanaojielewa wakisikia mwanamke anakazia habari za ndoa...
  2. Even MOre

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu ubora wa tv za goodvision upoje

    Goodvision FHD ile double glass iko vizuri sana nina miaka 6 nayo kwa biashara ya ukumbi wa mpira
  3. Even MOre

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

    Ko mechi ikawa GG 😄
  4. Even MOre

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

    Satellite za asili ina zoom zaidi ya x ray 😄😄
  5. Even MOre

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

    Hapa kwenye kisasi sasa ilikuwaje? 😄😄🙆🏻
  6. Even MOre

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    NI kweli
  7. Even MOre

    JamiiForums Tanzania Kutakua na hari ya dharura itakayohusisha vyombo vya ulinzi na usalama (Jeshi.)

    Subiri waje Nitaelewa tu 🤔
  8. Even MOre

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Sahihi 🤝🏻✅
  9. Even MOre

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    NI sahihi Ni sahihi ni vema na wao wakapata muda wa kujiridhisha kutoka kwa mtoa tangazo ikiwa ni yeye anayetangaza nafasi hiyo au DALALI. lakini wakague upande contact, jaribu kupitia post karibia nyingi contact ni namba zilezile wakati kazi ni tofauti na location za kazi ni tofauti.
  10. Even MOre

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Samahani si kwa nia mbaya, hizi kazi zinazotangazwa hapa nimejaribu kumpa zaidi ya post 4 mtu ninaye mtafutia kazi (Niliweka na uzi wake humu) awatafute lakini namba hazipokei simu na kujibu sms. Katika post kati ya 2 waliomba fedha kwa ajili ya kupatiwa nafasi. Kitu kingine nimekuja ku note...
  11. Even MOre

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Waarabu hawapendi kuwa na mahusiano na watu weusi?

    Kuna mwamba kandika uzi humu kuwa Mungu alikosea kuumba mtu mweusi 😀😀😀
  12. Even MOre

    JamiiForums Tanzania Safari ya Misukosuko (2006) – Sehemu ya Kwanza

    Niko mbele hapa 🤝🏻
  13. Even MOre

    JamiiForums Tanzania Let’s communicate in code.

    .
  14. Even MOre

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    .
  15. Even MOre

    JamiiForums Tanzania Dada anahitaji kazi haraka aweze kulea familia yake mme kamtelekeza. Location (DAR)

    Dah kaka mbona unakabia kwa juu sana 😃 nimefafanua katika comment ya pili nadhani baada ya andiko.
Back
Top Bottom