Mambo zenu
Mimi sijamboo ila kweli hawawatu ni waongo.
Unamuambia mtu aliye na matatizo akupe hela yeye atatolea wapi?
Shenzi type yaani mtu anadai ml 1 mwingine laki 620 mwingine 400 mwingine lako 150 mwingine 80.
Pumbavuu nimekasirika naona nikae na hali yangu.
Dah warongo tu Mungu atanipa...
Nawaombea Mungu wote wale wanayoona maisha magumu ya mtu ni utani au kaja hapa kujoke around wapate mara mbili au tatu yake.
Ili naye akiona mtu anashida anajua shida nini.
Kwenu Jf
Asanteni kwa muda wenu mliojitokeza sana kwa ajili ya shida nilizozisema .
Napenda sana kuomba radhi kama nitawaudhi baadhi.
Niliomba mtaalam na sio uhusiano naomba mnisamehe kama nimeongea vibaya kwa maana hilo mkija pm naomba mnisaidie kwa lile moja la mtaalam.
Asanteni na Usiku Mwema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.