Recent content by Euaggelion03

  1. Euaggelion03

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dodoma: Mwenyekiti CHADEMA akiwasha, apora daftari la wapiga kura baada ya kubaini kuna rafu

    Sioni mahali alipozichapa kama ulivyoandika au macho yangu tu yanamakengeza?
  2. Euaggelion03

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Tabia ya Shule kuchangisha pesa za mitihani kila wiki inakithiri, Walimu wameifanya kuwa mtaji

    Karibu shule zote za msingi hapa Dar zinachangisha michango ya mitihani kila wiki.Na kiwango chq pesa ni kuanzia 1000 hadi 2000 kutegemea tu na eneo husika.Lakini ukiondoa pesa hiyo ya mitihani ya kila wiki pia kuna pesa ya masomo ya asbh(Hii shule zingine huiita speed test)na kiwango ni kuanzia...
  3. Euaggelion03

    JamiiForums Tanzania Siielewi hii kampeni: Mtoto wa leo ni Samia wa Kesho

    Ila tuweje kaka?
  4. Euaggelion03

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Davina: Mungu amenionesha Uchaguzi wa 2025 hautakuwa wa kawaida

    Mbona maelezo ktk hiyo habari hayasemi ivyo?
  5. Euaggelion03

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Yanga anashinda kwa goli moja bila leo na goli lenyewe litakuwa limejaa utata mwingi lkn ndo ivyo tena ushindi utakuwa kwao.Save this comment
  6. Euaggelion03

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

    Hii mada ndo tayari imefika mwisho au?
  7. Euaggelion03

    JamiiForums Tanzania Kombe la club bingwa msimu huu ni la yanga

    Sawa shehe Yahya Hussein
  8. Euaggelion03

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Baada ya saa 21:00 zitasikika kelele za hutamtaki mangungu

    Lala uote tena mkuu
  9. Euaggelion03

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuingiza 20,000 hadi 30,000 per day?

    @point of no return Point of no return Kuna swali lako huku
  10. Euaggelion03

    JamiiForums Tanzania Tarehe 3 January 24 saa 8:17 mchana Mbagala joto ni nyuzi joto 34

    Hiki ni kiswahili au kingoni? Kama ni kiswahili basi lugha imepanuka sana
  11. Euaggelion03

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Waziri ya elimu, TAMISEMI na Serikali kwa ujumla

    Kongole mkuu, mawazo na ushauri mazuri sana huu umetoa.Kazi kwao wizara husika Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Euaggelion03

    JamiiForums Tanzania Natumia Biblia kutatua changamoto ( Updates: Kwa sasa sifanyi tena hii kazi)

    Kwahiyo kuna kutamka majina matatu kwanza mara tatu. Kisha ndio unaanza kutaja bible code kwa dk 15 si ndio hivyo?
  13. Euaggelion03

    JamiiForums Tanzania Natumia Biblia kutatua changamoto ( Updates: Kwa sasa sifanyi tena hii kazi)

    Hapo unaposema mara tatu tu unakuwa unamaanisha nini na wakati umesema tutumie japo dk15
  14. Euaggelion03

    JamiiForums Tanzania Natumia Biblia kutatua changamoto ( Updates: Kwa sasa sifanyi tena hii kazi)

    Naona mleta mada kajiingiza kwenye mabishano badala ya kuendelea na kazi yake.Sio kila swali linahitaji kujibiwa ukifanya hivyo unaenda kupoteza mwelekeo
Back
Top Bottom