Recent content by Etcetera

  1. E

    Siendi Mkoani Ng'ooo!! Dar es salaam is the future! Mikoani ni didimizo la uchumi binafsi

    kwani KINONDONI na TEMEKE siyo mikoani ?? .made in mby city.
  2. E

    Je, kinadharia inawezekana kila mtu duniani akawa tajiri?

    Cc: Pasco Cc: Kiranga Cc: Monstgala Cc: Apollo Cc: Rakims Cc: Dreson4 Cc: Free ideas Cc: Nkwesa Makambo Cc: Ishmael Cc: Eiyer Cc: @d'revis Etcetera
  3. E

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    we mñyakyusa àsante sana kwa darasa ninyi wakina @Ndg.MWASALEMBA mmebarikiwa kujitolea sana katika kutoa elimu ya mambo ya kiuchumi pasipo malipo kuna ndugu mmoja naye anaitwa MWASALEMBA, mwezi uliopita alitupa elimu adimu sana kuhusu ujasiriamali kwenye semina ya vijana hapa MBEYA HOMELAND...
  4. E

    Tambua Usawa Uliopo Kati ya Ufahamu, Akili na Uhalisia wa Maisha Yetu

    mkuu aretaskimario nimeku-PM namba yangu tafadhari naomba unikutanishe na mwalimu natanguliza shukrani... .made in mby city.
  5. E

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Wewe mtu ni hatari sana Naona hapo mwisho umedondosha nondo hatari sana jinsi ya kuroga biashara yako mwenyewe I SALUTE YOU mkuu ZeMarcopolo .made in mby city.
  6. E

    Hadithi ya Wafungwa kwenye Pango (Fumbo la Maisha)

    mkuu mshana jr natamani kuelewa hizo level mnazozizungumzia lakini nimetoka kapa naomba mtufafanulie kwa mapana kidogo hizo level ili na sisi vichwa box tuweze kwenda na walimu wetu kikamilifu Cc: yang Cc: Apollo Cc: mshana jr karibuni wakuu....... .made in mby city.
  7. E

    Kanuni ya Kubadili Fikra: Kanuni ya 8 ya Akili na Ulimwengu

    Asante kwa hii kitu mkuu Apollo nimekutana na elimu pana sana kutoka kwako mkuu ubarikiwe sana mkuu . made in mby city.
  8. E

    Hadithi ya Wafungwa kwenye Pango (Fumbo la Maisha)

    asante mkuu gota07 kwa kuja na kuona mapungufu tajwa hapo juu tunahitaji mchango wako hapa jukwaani wa hadithi hii pale penye mapungufu ongezea-ongezea nyama ili twende sawa pamoja karibu mkuu......... .made in mby city.
  9. E

    Hadithi ya Wafungwa kwenye Pango (Fumbo la Maisha)

    asante mkuu gota07 kwa kuja na kuona mapungufu tajwa hapo juu tunahitaji mchango wako hapa jukwaani wa hadithi hii pale penye mapungufu ongezea-ongezea nyama ili twende sawa pamoja karibu mkuu......... .made in mby city.
  10. E

    Hadithi ya Wafungwa kwenye Pango (Fumbo la Maisha)

    mm naona kama tumefungwa karibu kwenye kila jambo hapa ulimwenguni ndio maana hata Sir Isaac newton alishawahi kusema "".WHAT WE KNOW IS ONLY A DROP OF WATER AND WHAT WE DON'T IS AN OCEAN"" karibu utuelezee kwa mapana mkuu Apollo jinsi ww ulivyo itafasiri hiyo hadithi .made in mby city.
  11. E

    Hadithi ya Wafungwa kwenye Pango (Fumbo la Maisha)

    aisee mkuu Apollo shukrani sana kwa hii hadithi kiukweli imenifumbua macho kwa mapana ubarikiwe mkuu jamiiforums inahitaji mchango wa watu kama wewe mkuu Apollo Cc: Kiranga Cc: mkwesa makambo Cc: Dreson4 Cc: mshana jr Cc: FaizaFoxy .made in mby city.
  12. E

    Kanuni ya Hisia (Kanuni ya 7 ya Akili na Ulimwengu)

    thumb up kwako mkuu Apollo nimejifunza na ninaendelea kujifunza mengi kutoka kwako mkuu . made in mby city.
  13. E

    Sheria ya Upekee wa Uelewa na Uhalisia wa Maisha (Kanuni Ya Nne ya Akili na Ulimwengu)

    ahsante mkuu Mwamba028 nishaku-PM, nasubiria mrejesho kutoka kwako .made in mby city.
  14. E

    Sheria ya Upekee wa Uelewa na Uhalisia wa Maisha (Kanuni Ya Nne ya Akili na Ulimwengu)

    mkuu Mwamba028 habari yako ? huyu ndugu yetu siyo mchoyo wa maharifa kama wajuzi wa mambo mengine mkuu kama hautajali fanya kunitumia hivyo vitabu na mimi nipanue uelewa ikiwezekana vi-upload hapahapa jukwaani . made in mby city.
  15. E

    Sheria ya Upekee wa Uelewa na Uhalisia wa Maisha (Kanuni Ya Nne ya Akili na Ulimwengu)

    mkuu Apollo you deserve my like shukrani sana kwa chakula cha ubongo na ubarikiwe sana kwa moyo wako mkunjufu ni watu wachache sana wenye moyo kama wako wa kujitolea muda wao na kutoa elimu yakinifu kwa wa-tanzania wenzao bila ada yoyote Cc: mshana jr Cc: Monstgala Cc: Kiranga Cc: Dreson4 Cc...
Back
Top Bottom