Mimi naona wenye uzalendo wa nchi yetu na uchungu ni wale waliobaki bungeni. Hawa UKAWA SI LOLOTE NA WALA SI CHOCHOTE. KWAO WANANCHI KUUWAWA ILI WAPATE MADARAKA NDIYO JAMBO LA MAANA. NIJUAVYO MIE HOJA HUJIBIWA KWA HOJA NA ASKARI ANAEKIMBIA VITA SI MZALENDO WA KWELI BALI NI MBABAISHAJI TU...
manga songa mbele Kwanzaa mbele asikutishe mtu NA degree maana wengi wao wamedsco hawana lolote NA ndio maana wamelifanya bunged letu the comedy. walioanza ligi NA wewe hawajiamini tuko NA wewe songa mbeleeeeeeeeeee matius kurudi nyuma mwiko mungu Yukon NA wewe tunakuombea mpendwa
MUNGU TUNAKUSHURU SANA KWA KUWANUSURU VIONGOZI WETU
Ndugu watanzania wenzetu naomba tuwaombee viongozi hawa wapone haraka. Kwa wanaoshangilia naomba mungu awasaehe kwani hawajui wasemayo
SERIKALI MBILI NDIYO MPANGO MZIMA WANZANIA TUSIKUBALI KUUVUNJA MUUNGANO WETU.
Wananchi wenzangu naomba niwaase kwamba tudumishe Serikali mbili kwani waotaka kinyume chake hawana lengo jema kwetu wameshapokea ujira Toka Kwa weupe NA wengine wanaona Kuwait serikali tatu zitawapa fursa...
Mbunge mteule Wa Jimbo la Chalinze mhe. Ridhiwani Jakaya Mrisho Halfani Kikwete hakukosea kusema kwamba endapo ajali zitatokea kabla ya kupanua miundo mbinu ya barabata atahakikisha Kuwait majeruhi watatibiwa pale ajali zinapotokea. Hii ni busara maana unapsema eti ni akili ndogo akili kubwa...
CHAMA CHA MAPINDUZI CCM KITADUMU
MIMI BAADA YA KUONA SARAKASI BUNGENI NIMEGUNDUA KWAMBA Nchi hii ni vyema CCM iendelee kuaminiwa kutuongoza kwani vyama vya mifukoni mwa baadhi ya watu havitatufikisha popote wanachotaka ni kuinajisi ardhi yetu. Hatutaki na kwa kweli tunakemea mambo hayo kwa...
்Ndugu zangu watanzanIanIa wenzangu mie mwenzenua nasema kinaga ubaga kwamba chadomo nine Chapman chenye nia mbaya na umoja na mshikamano wetu. hii ni Saccos ya wajanja wachache tusiwaamini kabisa maana wanataka kututumia ili waweze kupata dola kwa maslahi yao binafsi angalieni libya...
Serikali mbili msimamo wananchi wenzangu tusikubali kuhadaika na waru waliopewa mabilioni na mataifa ta wazungu lea lengo lao ní kuvuruga umoja na mshikamano tulionao ndani ya Taifa letu. Endapo tutawapatia fursa ya serikali tátu jana watakavyo tutapekekea dámu kumwagika kama mataifa mengine na...
JK katufungua wengi maana tulichanganyikiwa baada ya Warioba kuwasilisha rasimu ya pili ya katiba kwa hiyo na wewe unapaswa kuwa mwelewa katika jambo hili muhimu lea mstakabali wa nchi yetu na watu wake ndani ya jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mungu obstojí Tanzania Mungu mbariki JK na...
Nimi nampongeza sama JK lea hotuba yake ya karne ametueleza hasara za serili tátu na faida za serikali mbili. Kwamba mbili changamoto zake zinazungumzika na gharama zake ní nafuu sana ukilinganisha na serikali tátu.
Kikwete bába ye.tu mpendwa hongera sama lea kutupatia somo muhimu sama ama lea hákika leo umemaliza kazí
Sisi wazalendo wenzio umetufungua akili zetu umetuonyesha njia hákika tunaahidi hatutakuangusha mkuu
Mimo chaguo langu na wanaotutakia nemá ndani ta taifa letu tuchague mfumo wa serikali mbili kwani changamoto zake zinazungumzika. Tusikubali kudanganywa na watu wanaopewa fedha na wazungu kwani lengo Kao ní kuturudisha kwenye. Ukoloni. Tuwakatae kama. Raid mugabe alivyo simama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.