CHADEMA nakupenda toka moyoni

CHADEMA nakupenda toka moyoni

Nimeona nitoe hisia zangu hata kwa kilugha nikimaanisha Chadema nakupenda toka moyoni.
Niko tayari kufa kuliko kukisaliti chadema na kila mwenye kukisaliti basi Mungu hayupo upande wake.
Chadema ni:
..mkombozi wa mtanzania
...mtetezi wa wanyonge
...mwanzilishi wa demokrasia
...kiboko ya mafisadi na mafisidi
...kisiwa cha haki na amani
....mpenda maendeleo


Vijana wanaojitambua karibuni CHADEMA.
Kipigo cha kalenga kimewachanganya sawa sawa, chalinze vipi
 
Kikwete bába ye.tu mpendwa hongera sama lea kutupatia somo muhimu sama ama lea hákika leo umemaliza kazí
Sisi wazalendo wenzio umetufungua akili zetu umetuonyesha njia hákika tunaahidi hatutakuangusha mkuu
 
Back
Top Bottom