Habari zenu leo ni muendelezo wa yule kaka king'ang'anizi.
Nimeamua kumuacha ili nisije kumuumiza huko mbele ya safari. Nimechukuwa maamuzi hayo kutokana na mwanzo wa mahusiano yetu aliniambia kuwa ana mwanamke anaishi naye ingawa sina uwakika maana mida ya usiku kwenye kuongea ananipa nafasi...
Habari zenu,
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni miezi minne (4) sasa tangu tuanzishe mahusiano na huyu Kaka kuna zawadi nilinunua kumpatia tangu niinunue mpaka leo ninayo na sijampa na moyo wangu nikitaka kumpa hautaki kabisa tatizo sijui liko wapi?
ila huyu kaka kunipenda ananipenda...
Habari zenu,
Kuna kaka mmoja kitaani ananipenda kinyama na nilishamwambia kuwa mimi sikuhitaji afanye maisha yake ila hakomi meseji kama zote yani naweza tukatoka wote nikamgombeza weee hadi huruma yani kawa kinganganizi nam-block anapiga namba nyingine, yani kutoka moyoni simpendi simpendi...
Habari zenu wadau,
Hii itakuwa mara yangu ya mwanzo na ya mwisho kuandika hii stori.... kama mnakumbuka niliwaambia hii stori kuhusu kaka wa kitanga shoo yake ilivyokuwa usiku mmoja muendelezo uko kama ifuatavyo;
Jumapili ya juzi nilipigiwa simu na dada kama kawaida alikuwa anahitaji niende...
Mimi ni yule dada niliyetoka out na kaka wa Kitanga....
Hivi swali langu ambalo nililokuwa najiuliza kwa nini huyu kaka anapenda kumtumia shemeji yangu na kuniulizia kama naendeleaje, au kama nilifika kwa shemeji yangu.
Jana jioni nilimpigia dada simu na kumwambia kama ntaenda kwake mana kuna...
Jamani acheni utani Tanga raha, nilikutana na huyu kaka sehemu anapoishi Dada yangu toka siku hiyo nilikuwa namuona mtu tu wa kawaida huwa akifika pale kwa dada anatabia ya kumwambia anipigie simu ili niende kwa ajili ya kunywa bia na mara nyingi huwa siendagi ni mara moja sana huwa naenda kama...
Habari zenu
Hivi ni kweli unapokuwa umechora tattoo mwilini kuna uwezekano wa kumtolea mtu damu? Mana nimesikia unapokuwa na Tattoo uwezi kumtolea mtu Damu...
Habari zenu wanazengo....
Mimi ni Mama mwenye mtoto mmoja kwa bahati mbaya mzazi mwezangu alishafariki toka mwezi wa 6 mwaka huu, toka alivyofariki moyo wangu unaniuma na mara nyingi huwa namkumbuka nabaki kulia sana miaka kadhaa iliyopita tulitengana kila mtu alikuwa na maisha yake na mahusiano...
Kuna Kaka mmoja kanitokea anasema ananipenda na kwa upande wangu huyu jamaa nilikuwa nampenda zamani hizo ila sikumwambia sasa kajileta mwenyewe, na huyu kaka ana mwanamke anaishi nae na wana mtoto nilichomwambia kuwa kama unahitaji kuwa na mimi aachane na baby mama wake ndo tuta make love...
Nipo kwenye mahusiano mapya tatizo huyu mpenzi wangu ana kibamia yani tukifanya leo hata magoli 100 kesho tena na hamu yani hata sielewi nabaki kumkumbuka yule X naombeni ushauri jamani sielewi
Nafanya kazi sehemu flani, nilikutana na huyu kaka kazini ni mtu anayenijali alishawahi kunisaidia kama pesa n.k hakuwahi kunitamkia kama ananipenda ila kuna vimaswali huwa ananiuliza kama hivi, (miaka ndo inaenda hivyo) hili swali bado sijaelewa huwa kamaanisha nini tulishawahi kupanga tutoke...
Habari zenu, natafuta gari ndogo aina ya Vitz au Duet namba B ela niliyokuwa nayo kuanzia Milioni 3 kwa ambaye analo ajitokeze na gari iwe kwenye hali nzuri.
Habari zenu,
Kila nikijaribu kuachana na mpenzi wangu inakuwa ni ngumu sijui tatizo ni nini kuachana kwangu mi na yeye kutokana na vitabia vya ajabu yani kwanza ataanza kunisumbua kwenye simu mpaka basi mwisho wa siku anabaki kuomba samahani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.