Recent content by essaumgimba

  1. E

    JamiiForums Tanzania Being in Njombe, ushawahi ishi, soma, fanyia kazi au hata kupita maeneo haya?

    daah wakuu aliyeleta huu uzi amenikumbusha mbali wakat nipo boarding ruhuji chakula shuleni kibovu hela ya ada ikaishia mwifunyi restaurant
  2. E

    JamiiForums Tanzania Being in Njombe, ushawahi ishi, soma, fanyia kazi au hata kupita maeneo haya?

    nishasoma njombe shule moja inaitwa ruhuji ipo ramadhani..
  3. E

    JamiiForums Tanzania Who is Said Salim Bakhresa (Azam)?

    bila shaka umesoma gazet ya udaku..na stor zao za uongo kuuza gazet
  4. E

    JamiiForums Tanzania Wakala wa Vipimo:Wataofunga bidhaa kwa mtindo wa 'lumbesa' jela miaka 3

    wakulima tushindwe wenyewe
  5. E

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi akamatwa na noti bandia zenye thamani ya Sh. 870,000

    hyo ndyo plan b ya maisha yake
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    ajira ipo shamban siku hizi
  7. E

    JamiiForums Tanzania Hatimae chipsi nazo zapanda bei

    mkuu lazima chips zipande bei kwan viaz sahz ni ghali sana.huku mbeya kiaz kg 100 ni elf 75 na kwa hapo dar kiaz kg 100 ni sh 150000
  8. E

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Lima kitunguu huku kawetele mbeya.wekeza kama mil 1 tu.trust me uwez kosa mil 8 kinakubali sana mkuu. lima hekali 2 tu
  9. E

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujua bei ya Water pump

    mwenye kujua bei ya Walter pump please
  10. E

    JamiiForums Tanzania 200 Mil biashara gani ya kunilipa fasta

    ingia kwenye biashara ya mazao mkuu itakutoa fasta
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    mkuu Lima kitunguu tu hapo.mpunga risk mvua ikizidi tatizo ukiwa chache tatizo
  12. E

    JamiiForums Tanzania Mabilionea wa Mwanza respect and silence

    erick j shigongo bilionea wakisukuma
  13. E

    JamiiForums Tanzania Matajiri, Watoto wa Mjini, Wababe na Wafanyabiashara wa Kilimanjaro na Arusha

    daah moshi kuna fulsa kibao..karoti yao ipo sokoni sana.kia,z ndyo usiseme..ndyo maana mabilionea weng
  14. E

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Startimes kuonesha EPL baada ya siku 11 zijazo

    star times wazushi tu itakua bado siku 11 tamthilia mpya itoke
Back
Top Bottom