Recent content by essatoalif

  1. E

    Wanasiasa nguli kuwahi kutokea Tanzania baada ya uhuru

    Lowwasa kafanya maamuzi magumu yapi na amevumilia nini? Angekua mvumilivu asingekiama chama chake cha CCM baada ya kukatwa na angekua na maamuzi magumu asingekubali kutoa tenda kwa Richmond huku akijua ni kampuni isiyo sahihi. Matusi ni haki yake kwani kila kinachosemwa juu yake ni ukweli mtupu.
  2. E

    Kikwete ni Masiha

    Vijana someni Biblia vizuri. Title ya MASIHI ndani ya kitabu hicho walipewa watu wengi akiwemo Daudi, Sauli, Samweli na wengine wengi kama vile Sulemani na baadaye Yeshuah mnayemuita Yesu kwa siku hizi. Tukumbuke kuwa sio wote hao waloitwa kwa jina hilo la Masihi ndo waliotenda mema hadi mwisho...
  3. E

    Kamati Kuu ya CCM yakutana saa nne asubuhi, Lumumba

    Watu wengine huwa akili zao ni ndogo, sijui walikula maharage ya wapi. Rais licha ya kuwa mwenyekiti wa chama ana haki zote za kutumia gari lake la kazi kazi. Kutokana na kanuni za ajira kuna mtu anapewa gari la ofisi ila mkataba wake unamruhusu kwenda na gari lake likizo. Shida kubwa ya watu...
  4. E

    Zitto: Iundwe Tume huru ya kimahakama kulichunguza suala la Richmond

    Tume kuundwa sasa hiv ndo vizuri kwani mtuhumiwa wa Richmond tangu atuhumiwe hakuwahi kukana tuhuma dhidi yake. Ila kwakua baada ya miaka nane kupita ndo amepata nguvu na ujasiri wa kukana tuhuma hizo na kusema aliye na ushahidi aende mahakamani basi Tume hiyo umefika wakati wake muhafaka. Ila...
  5. E

    Gorge Mwakalinga ahamia CHADEMA

    CDM inaelekea kugeuka CCM B kwani tutashindwa kutofautisha kati ya vyama hivyo viwili kipi ni kipi. Watu ni wale wale waliocheza segere wakati wa kupitisha katiba pendekezwa iliyopelekea kuundwa kwa UKAWA. Kama kweli wangekua na nia ya dhati ya uchungu kwa taifa letu wangeionyesha kwenye bunge...
  6. E

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Kura hizo zimepigwa na vijana wahuni kupitia simu za mkonani na wengi wao hawana kadi za mpiga kura.
  7. E

    Angalia unafiki wa Profesa Lipumba

    Watu wengi mnaongea bila kujua haya mambo yote ni ya kisiasa na mjue kama siasi inajengwa na unafiki. Asiyekua mnafiki ndani ya siasa huyo ni bora akaachana nayo. Usione vyama vyote vinavyounda Ukawa kama nia yao ni moja hapana, kwani ingekua hivyo wangewa wote wameunda chama kimoja wakakisajili...
  8. E

    Zitto Kabwe na Moses Machali wafunika Kigoma Mjini

    Sasa hivi hapa Tanzania chama cha Upinzani kimebaki ACT pekee.
Back
Top Bottom