Nilikua Zanzibar nikauliza hili swala la mtu kujenga jumba kubwa na paa refu.
Na jibu nililopewa nilitegemea cause sio watu waliokua exposed sana na ujenzi wa wenzetu.
Zambia, Zimbabwe, South Africa, Botswana na Namibia watu wanajenga vizuri sana.
Nyumba za wastani na paa sio refu na ni nzuri...
Wana-JF salamu,
Nimekuwa nikitafakari kuhusu diplomasia yetu ya kimataifa na nguvu ya pasipoti yetu.
Swali langu kuu ni: Je, nchi mbili zinaweza kukubaliana kufuta kabisa masharti ya Visa (Bilateral Visa Waiver Agreement) ili wananchi wake watembee kwa uhuru?
Kwa mfano, ikitokea Tanzania na...
Mwaka wa 6 huu, Sijala vitumbua.
Nimejaribu kutafuta kwenye stores na pia kuulizia hizi frying pan za vitumbua lakini nimekosa.
Options nilizopewa nitafute mtu anitengenezee au ninunue kutoka Tanzania.
Inasikitisha nchi Za Middle East na North africa zote zipo jangwani au nusu jangwani pamoja na Namibia, Botswana na baadhi ya maeneo ya Afrika kusini.
Na hakuna mambo ya kwamba watu hawana maji.
Miaka mitatu ufadhili gani wa masomo?
Sawa ngoja tujizime data na sisi, Ulikua ufadhili wa masomo kwa watoto wa miaka mitatu.
Lakini bado kuna maswali mengi ambayo tunabaki nayo.
Hapo katikati wazazi walikua wakienda kuwaona watoto na wakijua wanaendeleaje? Au ndio baada ya kupita miaka 10?
Anachosema ni kweli, Na kwa rasilimali Zinazochezewa, Baadhi anavyosema ni bare minimum.
Kama mambo ya bima za afya, Umeme kukatika na Government schools.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.