Swala la kukanyagana na kukatokea kifo Ni jambo la kawaida ambapo msongamano mkubwa wa watu na udhibiti pia, huko maka wanafariki na sehem nyinginezo na kuhusu kukimbia Ni mshtuko ambao binadam yeyote hushikwa na bumbuazi na kupelekea kukimbia hata madereva hutokea,mshana jr nakukubar Sana...
Mkuuu ،jambo hili Ni zito na Ni Pana Sana ،hivyo weledi۔ Hekima na busara zinahitajika ۔makonda kupigwa stop haimuathiri makonda na familia yake tuuu Bali Taifa kwa ujumla Nakukumbusha kuwa hizi Ni mvua za lashasha masika inakuja ۔so ni vyema vikao vikaendea Kama vile mkapa alivyoingia mjengoni...
Kimsingi makonda siyo msemaji wa serikali hivyo na wao wameonyesha udhaifu mkubwa Sana ۔makonda Ni mkuu wa mkoa huwezi kutoa tamko Kama hii kisa mkuu wa mkoa but kwa kuwa imetoke Ni vyema akachia ngazi pia pro kabudi apunguze majibu ya haraka haraka hata Dem ukimtongoza anajibu subiri kwanza...
Wakuu telegram na WhatsApp kwangu naona ni mitandao inayofanana katika option mbalimbali.
Je iweje WhatsApp ifahamike na iwe na watumiaji wengi kuzid Telegram?
Mkujeni mnijibu
Hii kigodoro nilikuwa nasikia tuuu,Sasa bhana nikabahatika kwenda pwani ,daaah Yan mtu anacheza uchi huku chupa inaingizwa kwenye k......ma.yani nilihuzunika sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.