Recent content by Esoft technology

  1. E

    Jipatie keyboards na adapter za laptop

    TUMERUDI TENA KARIBUNI
  2. E

    Manunuzi ya bidhaa mtandaoni; leo tuiangalie Aliexpress na Alibaba

    Samahani wadau naomba kujuzwa au kuwadirected kwenye thread iliyozungumzia kuhusu mambo muhimu katika kufanya manunuzi kupitia online platform za china hasa alibaba na aliexpress
  3. E

    Jipatie keyboards na adapter za laptop

    keyboard zote zipo kama unahitaji
  4. E

    Pata website yoyote kwa chini ya 130000

    Tupe sample tukupe kazi
  5. E

    Siwezi kuuvumilia huu ujinga Wakuu nitajuaje kua USB hii sio nilonunulia na Sim charge yangu?

    mkuu katika accessories za simu USB ndo pasua kichwa utamuua bure huyo jamaa kwa hasira hizo hufa saa yoyote na utazinunua nyingi tu wala usipanic
  6. E

    Laptop yangu imekata sauti ghafla, msaada tafadhali

    matatizo ni hayohayo either sound drivers au problem za speaker as long as headphone inafanya kazi sound system iko vizuri tu
  7. E

    Laptop yangu imekata sauti ghafla, msaada tafadhali

    mkuu hapo yaweza kuwa ni hardware issue kama ukishidwa nunua speaker mpya au pm tukusaidie
  8. E

    SOFTWARE Computer software repair and maintanance

    toa battery toa adapter kisha bofya button ya kuwasha kwa sekunde kama 30 kisha chomeka adapter bila battery na kuiwasha ikigoma PM
  9. E

    SOFTWARE Computer software repair and maintanance

    hapo ni drivers tu hakuna kingine
  10. E

    SOFTWARE Computer software repair and maintanance

    hilo litakuwa tatizo la speaker lakini yaweza kuwa sound drivers ambalo ni very rare case jaribu kuinstall drivers ukishindwa pm
  11. E

    Jipatie keyboards na adapter za laptop

    KEYBOARDS ZA KILA AINA..............50000 TU Kwa keyboard za nje 80000 TU Kwa eyboard za ndani hii ni pamoja na kuwekewa ADAPTERS......................................25000 TU PIGA SIMU AU...
  12. E

    KEYBOARDS NA ADAPTER ZA LAPTOP

    JIPATIE KEYBOARDS NA ADAPTER ZA LAPTOP ZA KILA AINA.. KEYBOARDS............45000 TU ADAPTERS...............25000 TU PIGA SIMU NAMBA 075267766 AU PM
  13. E

    SOFTWARE Computer software repair and maintanance

    IIACHA KUTOA SAUTI WAKATI GANI
  14. E

    SOFTWARE Computer software repair and maintanance

    hapo unatakiwa ku-repair hiyo OS ya PC yako kwa kutumia CD ya window au uweke OS(window) nyingine...
  15. E

    App ya kupata simu iliyopotea

    jamaa kaelezea ukweli..labda kama unataka amfariji tu hapo alipaswa awe ame-install kabla
Back
Top Bottom