App ya kupata simu iliyopotea

lydiah

Senior Member
Sep 2, 2015
151
101
Nimeibiwa simu, nilisikia Kuna app ya kujua location ya simu iliyopotea kwa email tafadhali nisaidie
 
ilibidi uwe ume-install kwa simu kabla haijaibiwa sa hizi ungekuwa unamchora tu mwizi wako mara unaweka password ukitaka unatoa, mara unampiga picha alipo, mara unaifanya simu inaita tuu, ukitaka unasoma meseji zake, contact zake unaziona tu unaona location yake, ukiamua unamtumia Sms Kaka Mwizi Mwe pole yaitwa Cereblus
 
Sasa hapo umsaidia nini mpe msaada kama unajua kama hujui piga kimya
 
ilibidi uwe ume-install kwa simu kabla haijaibiwa sa hizi ungekuwa unamchora tu mwizi wako mara unaweka password ukitaka unatoa, mara unampiga picha alipo, mara unaifanya simu inaita tuu, ukitaka unasoma meseji zake, contact zake unaziona tu unaona location yake, ukiamua unamtumia Sms Kaka Mwizi Mwe pole yaitwa Cereblus
 
Kama hukuroot cm yako na hukuinstal app husika. Nakushaur achana nayo then fanya mambo ya msingi. Pole sana
 
R
ilibidi uwe ume-install kwa simu kabla haijaibiwa sa hizi ungekuwa unamchora tu mwizi wako mara unaweka password ukitaka unatoa, mara unampiga picha alipo, mara unaifanya simu inaita tuu, ukitaka unasoma meseji zake, contact zake unaziona tu unaona location yake, ukiamua unamtumia Sms Kaka Mwizi Mwe pole yaitwa Cereblus
Toa maujanja basi tufaidike
 
Rudi bax utueleze vzr jmn mi mwnywe ni mhanga wa kupoteza cm kila Mara nikiifahamu hyo inaweza nisaidia!!!
 
Jamani nimerudi lakini kinachotakiwa ni rahisi tu jifunze ku-root simu then tafuta hiyo application cereblus ipo google store simple
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom