Recent content by Esmile

  1. E

    Nauza Toyota IST ya 2005 iko kwenye hali nzuri

    Hakana hata sports rim
  2. E

    Nafasi za kazi Aga Khan Education Service Tanzania (AKES,T)

    Suala la kigezo cha experience kinasababisha wengi sana kukosa ajira,,wakati wana uwezo WA idara husika
  3. E

    Zitto kutimkia ACT-Tanzania?

    Dhambi ya usaliti na ubaguzi itawatafuna tuuu. Ipo siku mtaliamini hili. Zitto ataondoka na wengi sana waliokua nyuma yake. Litadhihirika hivi punde. Mungu hamtupi Mtu mwenye dhamira ya kweli.
  4. E

    Haya yananifanya nisijiunge na king'amuzi cha Azam

    Uwe unafanya uchunguzi kwanza kabla ya kuandika kitu. Utakuja kufungwa bure. Kukudupuka kubaya sana
  5. E

    Ajali mbaya gari ya Kidia one T663 AXL na Scania ya mzigo Dodoma

    Kidia one huwa inaenda arusha lakini akaanzisha ruti ya mwanza. Haina hata mwezi njiahii ya kati. Mabasi uanakimbia sana na hawazingatii sheria hasa katika kuovateki. Jamani mtatumaliza
  6. E

    Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    Kua na subira utafanikiwa
  7. E

    Urais 2015: UKAWA waanza safari

    Haya tumeelewa
  8. E

    Urais 2015: UKAWA waanza safari

    Kwa higo
  9. E

    JK kukutana na makada wa CCM kutoka vyuo vyote vikubwa TZ

    hata ikigharimiwa na chama tatizo liko wapi? Kila chama , kila mtu ana haki ya kukutana na watu wengine, alimradi asivuruge taratibu
  10. E

    Hizi ni hoja zilizoibuka mara tu baada ya Kikwete kumaliza hotuba yake! Wewe una hoja gani?

    hivi inaingia akilini watu laki tatu wawakilishe watu milioni 40? Elimu iwasaidie sio iwapotoshe
  11. E

    JK Na Funika Ya Jana:- Ilikuwa ni Hotuba ya The Century Tanzania Kwanza!!

    siku zote ukweli unauma. Vyama vya upinzani vinataka serikali 3 kwa maslahi yao binafsi hasa ya uroho wa madaraka. Jk aliyoyaeleza niya msingi saana. Jaman tuweke utaifa mbele tusipelekwe kama bendera fuata upepo.
  12. E

    William Malecela: JK is Africa's Diplomatic Genius

    mfumo wa maisha ulivyo, huwezi kumridhisha kila binadam kwa sababu kila mmoja anamatakwa yake. Na huwezi kupendwa na kukubalika na kila mtu. Kwa hyo kwa anaemsifia jk yupo sawa na anaemponda yupo sawa kwa sababu ndio maisha yalivyo
  13. E

    Wabunge wagomea posho ya laki 3, wasema ni ndogo

    Ndugu wana jamvi. Mkitaka kujua kwa sasa hamna wazalendo, ni katika posho za wabunge huko Dodoma. Hata wale wanaojidai ni wazalendo, katika hili utaona hawapigi kelele. Ndugu zangu tuweni makini sana na viongozi wetu hawa waliojaa tamaa. Mi sidhani kama kuna mzalendo pale. Wooote wanataka posho...
  14. E

    M4C-OPD: CHADEMA Yafanya mikutano 87 mikoani ndani ya wiki moja

    Acha ushabiki usiokua na tija wewe, 'CHADEMA YASHIKA NCHI?' jiangalie wewe. Usipotoshe watu.
Back
Top Bottom