Recent content by Esmarion

  1. Esmarion

    Watanzania wanataka mabadiliko. Ni wajibu wetu kuwapa Mabadiliko ya Uhakika

    Global ndio zao. True revolution comes from within oneself....!
  2. Esmarion

    Sioni wa kuvaa viatu vya Dr. Magufuli kwa Miaka 20 ijayo

    Kuna Kassim Majaliwa Kassim. Ni Rais ajaye. True revolution comes from within oneself....!
  3. Esmarion

    Hii Picha Imenifanya nimpigie mama haraka muda huu

    Touching one! True revolution comes from within oneself....!
  4. Esmarion

    Kwani hakuna fursa nje ya Tanzania?

    Mkuu mosi bodaboda pia ni ajira. Pili suala sio kuwa na elimu tu ila quality ya elimu yako ni muhimu sana. Huwa siamini sana kwenye maG.P.A makubwa kuwa ndio sababu ya wewe kufanikiwa. Hebu watafute classmates wake wenye G.P.A za 3 tuone wapo wapi na wanafanya nini. The true revolution comes...
  5. Esmarion

    Ni heri matendo mabaya ya mzungu kuliko ujinga wa mtu mweusi

    Ustaarabu ni nini? Na ustaarabu wetu ulikuaje kabla ya wazungu? The true revolution comes from inside yourself....!
  6. Esmarion

    Nahisi baba anataka kugawa urithi bila kunishirikisha. Naombeni msaada

    Miaka 38 ni mtu mzima wewe. Baba anajua akikupa urithi utapeleka kwenye chama cha mboga mboga. The true revolution comes from inside yourself....!
  7. Esmarion

    Ney wa Mitego vs Rita mahakamani

    Daah technology ni balaaa The true revolution comes from inside yourself....!
  8. Esmarion

    Mwanamke wangu anataka kuniacha baada ya kuona sina mwelekeo wa maisha

    Mwambie asubiri #COVID-19 ipite. The true revolution comes from inside yourself....!
  9. Esmarion

    Hii Picha Imenifanya nimpigie mama haraka muda huu

    Mkuu sijamaanisha kuwa huwa simpigii simu mara kwa mara. Huwa nampigia sana. But this time nilimpigia huku nikiwa nahisia nyingi sana. Najua ni ngumu sana kueleweka coz kila mtu anacho kimjazacho kifua chake. The true revolution comes from inside yourself....!
  10. Esmarion

    Hii Picha Imenifanya nimpigie mama haraka muda huu

    Daah... mama zetu ni mashujaa wetu. The true revolution comes from inside yourself....!
  11. Esmarion

    Hii Picha Imenifanya nimpigie mama haraka muda huu

    Love and affection. The true revolution comes from inside yourself....!
  12. Esmarion

    Hii Picha Imenifanya nimpigie mama haraka muda huu

    Kiukweli sina mengi yakuandika. Nakupenda sana Mama yangu. The true revolution comes from inside yourself....!
  13. Esmarion

    How lndians see Blacks especially Black Woman

    Racism expressed by Indians is very open even in workplaces. The true revolution comes from inside yourself....!
  14. Esmarion

    Awamu hii ukwepaji kodi bandarini umekua kwa asilimia 742

    Ukiendelea na elimu inakuwa zaidi ya hapo. The true revolution comes from inside yourself....!
  15. Esmarion

    Mjumbe kachana barua mbele yangu bila kuisoma

    Kwani viwanja ni vya majirani??? Ulikuwa unawasumbuaje? The true revolution comes from inside yourself....!
Back
Top Bottom