Recent content by ESilaa

  1. E

    Eneo linauzwa Usagara, Mwanza

    Bei 25million
  2. E

    Eneo linauzwa Usagara, Mwanza

    Eneo lenye ukubwa wa ekari 3, lipo usagara Mwanza. Lina nyumba ya slopu ya vyumba 3,pia banda la kufugia kuku la kisasa lenye uwezo wa kutunza kuku 600, lina choo pia. Bei nafuu sana. Mawasiliano: 0784315728
  3. E

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Waone mafundi wanaoaminika,badili engine weka ya Toyota (3L au 3Y injection) utapeta na utarudisha heshima mtaani
  4. E

    Nape atakimbilia wapi?

    Ukiona msemaji wa chama anakiuka misingi na taratibu za chama (kama misingi ipo na taratibu zipo) kusema lolote kwa vyovyote bila kukemewa,ujue nyuma yake kuna kundi Fulani au mtu fulani mwenye nguvu katika chama. Hii ni hatari kwa ukuaji na ustawi wa chama,na haraka hupoteza mvuto wa chama...
  5. E

    Ni maswali tu, msinitukane!

    Ingekuwa vizuri kama "uovu" wa lowasa ulioutaja ungeuambatanisha na vielelezo, nadhani huyo bwana na wasomaji wengine wangeweza kuchangia mada yako bila ushabiki. Kwa jinsi ulivyomkashifu mwenzio huku ukiwa umeleta mada yenye uovu usio na ushahidi ni dhahiri mada yako ina lengo la kuzidi...
  6. E

    Dotto Bulembu; alika waandishi si matahira wa uandishi

    Nilishawahi kumuonya Dotto kuhusu kumualika huyo punguani lakini akadai hana uwezo wa kumuacha. Dotto usikubali kutumika vibaya
  7. E

    Ngoma ya escrow kumbe ni standard chartered

    Maelezo marefu ya kutetea wizi, wizi ni wizi. Hatuwezi kujustify wizi kwa kigezo cha kumuendeleza mtoto wa kike.
  8. E

    Tibaijuka: Nimepokea Bilioni ya Mbia wa IPTL! Malipo yalisimamiwa na BoT

    Zawadi ya 1billion! Kumbe ndio maana hawataki vipengele vya katiba vinavyomtaka kiongozi kukabidhi serikalini zawadi anazopewa kwa wadhifa wake!
  9. E

    Wawakilishi wa Taasisi za dini wakiri bunge maalum kujadili rasimu tofauti

    Kwa mujibu wa taarifa ya wawakilishi wa taasisi za dini katika bunge maalum la katiba iliyotolewa kwenye vyombo vya habari,bunge maalum la katiba linajadili rasimu tofauti na iliyopendekezwa na tume ya jaji warioba. Kwenye taarifa yao chini ya kichwa "WARAKA MWINGINE UNAJADILIWA NA SI RASIMU YA...
  10. E

    Brazil Itabaki kuwa Brazil. Tuachieni Brazil Yetu

    Ingekuwa ni bunge la katiba brazil wangetoka nje
  11. E

    Mkuu wa chuo cha SAUT Mwanza ajiuzulu

    A Father achana na huyo mwehu shigegele,anadhalilisha walimu wa saut waonekane hawajui kiingereza,hajui hata kuandika anachofundisha
  12. E

    Mkuu wa chuo cha SAUT Mwanza ajiuzulu

    Acha kudanganya wewe shigegele, hata jina la somo hujui,hakuna public relation kuna public relations, mwalimu wa PR aliyekuwepo ni SILAA na si SLAA,na hayupo SAUT tangu november 15,2013.
  13. E

    Mkuu wa chuo cha SAUT Mwanza ajiuzulu

    Saut hakuna lecturer anaitwa SLAA,taarifa yako ni ya uongo na kutunga,usipotoshe umma kwa nia ovu
  14. E

    Mkuu wa chuo cha SAUT Mwanza ajiuzulu

    Mtoa mada ni MUONGO MKUBWA, SAUT hakuna lecturer anayeitwa SLAA, ametumia jina la watu vibaya. Tujihadhari na taarifa hizi kwani ni za uongo
Back
Top Bottom