hebu hamshangai kwann mandela aliwakubali wazungu kwa ajili alijuwa bila wazungu south icngekuwa km ulaya leo so na nyinyi acheni ubinafc fikirieni mbele watoto wenu wale raha co kukaa ukolini na maneno ya maenzi
yaani mna 10% na mnaharibu nchi hv bora hata hiyo 10% muwape hao wahindi mnaishi kwa kula tu co kuendeleza mm nashauri muwakabidhi 100% haswa muone nchi itakavyoendelea hahaha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.