Al Shabab Safe House in Tanzania?

Al Shabab Safe House in Tanzania?

Status
Not open for further replies.
Wakenya wanajitahidi kwa kufanya kila ufataani waiingize Tanzania kwenye hili janga walilojiingiza.

Mnalo hilo.

mchawi aliyekuroga mtafute. kulala na kuamka ni kenya. cheo chako kama barozi mteulewa alsha......b tz umekiifadhi tu.

Arusha, mwanza,zanzibari mmeshabulia tayari, mmebanwa na govt ya tz.......kiasi .......!!!! najua mnapika mapya.....
 
= balozi
 
wazungu wanawatia ujinga sana na km wao wanawapeni tahadhari y waczuie tu wanatupa tahadhar 4 wat wajinga tu
 
Naona huwajuwi Wasomali, hata walipowakong'ota west gate mall, hero akawa huyo huyo Msomali! umesahau? ilikuwa ujifunze kitu kwa lile tukio. Majeshi yenu yaliishia kuwa looters, Msomali aka Warrior mmoja akawa hero wa west gate. Imagine.

We ni shetani. Unasifia mambo gani tena ?
 
We ni shetani. Unasifia mambo gani tena ?

Mkulu Achana na mtu anayeitwa FaizaFoxy .... yeye ni mwendawazimu.... na nashangaa kwa nini mods mpaka waleo hajamfungia na yule hayawani mwenzake Khaltan..... mazuzu tu.....
Yeye hamna alijualo... unaona sasa anachnganya alshabab na wasomali.... anaanza kuwachafua wasomali kama wanavyojitahidi kuuchafua uislam.....

Wewe mfuatilie post zake halafu utaniambia..... ni mtu ambaye hajui anachokifanya.....
 
nawapenda ALSHABAAB njooni tanzania.mnakaribishwa kwa MOYO WOTE.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom