Recent content by Escrowseal1

  1. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Hivi akitoe Samia akalifuta Kanisa Katoliki hapa Tanzania, kitatokea nini? Au ni kelele za muda, mwisho mnasahau?

    Kwa mamlaka gani , ajaribu aone kama hatishia kama sadam hussein . Huu nao uzi
  2. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Bashungwa, tulimfukuza Nchimbi kulinda maslahi ya CCM.

    Huyu mtu ndo mass killings ilikuwa coordinated chini ya uongozi wake wa wizara . Sijawahi kumkubalinhata kidogo tangu awekwe hapo alipo.
  3. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Bashungwa, tulimfukuza Nchimbi kulinda maslahi ya CCM.

    Namuombea Heche na Lissu waendelee kuwa real bila chenga . The time is approaching at the highest pace ever
  4. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Ultimatum ya siku 30 ndio mtihani mkubwa kwa Samia.

    watanzania mjielimisheni , kwa hiyo common wealth ni mabeberu pekee?
  5. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

    Mzee Chande
  6. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania CCM siyo tena chama cha siasa bali ni ni kikundi cha wahuni. Huo ndiyo ukweli

    Hiki ni kikundi sawa na Boko haram . Ninesikiliza wadada wanalilia ndugu zao nimeishia kulia mimi na nchi nzima hali iko hivyo. Sema sauti hazifikii umma kwa sababu media zinazotakiwa kufanya hiyo kazi ziko mfukoni
  7. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Mkurugenzi wa TTCL, Moremi Marwa, kwa juhudi kubwa za usambazaji wa fiber internet mitaani, yenye bei nafuu na kasi kubwa

    Wangemwingiza starlink washindane Mwafrika ana matatizo hasa kwenye management . Mimi nimekua tukichukua huduma ya simu za waya ukienda ku print statement mwisho wa mwezi unaweza kuzimia. Hayo watawekeza mwisho utasikia wamempa Rostam bure na wanasiasa wakuchuta nyuma nyuma . African inaitwa curse
  8. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Warioba: Naamini Vifo vya Oktoba 29 vilikuwa vingi zaidi kuliko wanavyosema

    The suspect number moja ndo analeta tatizo Tanzania . Hii kitu haiwezekani bila pressure ya UN na ICC , ameonyesha madhaifu mengi tangu maandalizi ya uchaguzi, mauaji na baada ya uchaguzi. Yuko tayari kuning’inia kwenye kamba ya madaraka kwa cost ya aina yoyote .
  9. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume imetambua vifo 518 wakati wa maandamano ya Mo29. Wamekiri, watatokaje?

    Na hasa mama wa waharifu kasharukwa na akili tayari.
  10. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Video: Haya ndiyo Mahandaki wanayowekwa Watu Weusi huko Israel

    Sasa mbona hujabandika la jews
  11. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Wananchi hasa CHADEMA mkiingia mkenge wa Nchimbi mmekwisha

    Nimeona wengi wa wananchi wakipongeza kauli ya Nchimbi kuhusu conflicts za vyama. Na hii ndo kawaida ya wanongo kuingia king kwa Mkono wa kushoto. Binafsi napinga maana kama ni kelele zilipigwa za kutosha kabla ya uchanguzi na mtu yeyote mpenda haki huo ndo ulikuwa muda muafaka wa kusimama na...
  12. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Ijue Taasisi ya Madrid Bar Association waliomshitaki Samia ICC

    Kabudi atakavyotumbua ile mi macho sasa kama yale magari ya bedford ya zamani yaliyokuwa yanasomba kahawa
  13. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Ijue Taasisi ya Madrid Bar Association waliomshitaki Samia ICC

    Chura nwenyewe analijua hilo ndo maana kwenye maji hakai wala shimoni. Ngoma ngumu we sela ICC procedures zao ni za kuvuta miguu ni hawakurupuki mir ningekuwa chura ningejifunza kukaa juu ya mti
  14. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anza kuandaa mlio utakaolia baada ya kuachia Ikulu

    Kajielimishe wewe Tanga iliacha lini kuwa jiji
Back
Top Bottom