Daktari mwenye degree anaeanza kazi take home ni tsh.960,000 na gross salary ni 1,300, 000 na mikoani wanapewa 250, 000 ya nyumba kila mwezi na call allowance ya si chini ya 100, 000 kwa mwezi.....so kwa mwezi take home si chini ya 1.3mil
Ila bado ndogo sana ukiliganisha na kazi zao vs wabunge.