Recent content by escrow

  1. escrow

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kiafya

    Asante sana [emoji120]
  2. escrow

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kiafya

    Asante Comredi
  3. escrow

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kiafya

    Daaaah! My friend nina wakati mgumu kuliko kawaida [emoji24]
  4. escrow

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kiafya

    Asante! Nazingatia
  5. escrow

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kiafya

    Daaaah brother inauma usipime yanii!
  6. escrow

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kiafya

    Shukrani Mkuu nawahi
  7. escrow

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kiafya

    Asante sana [emoji120]
  8. escrow

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kiafya

    Asante! Naenda
  9. escrow

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kiafya

    Salaamu wakuu. Naomba ushauri wa kiafya JF doctor. Ni muda wa siku tatu sasa najisikia hali ya mgongo kuchoka, kichwa kuuma, mkojo unauuma napokojoa, halafu usaha mweupe kutoka Kwenye Penis. Nipo kwenye ndoa na baada ya hali kutokea nilihisi kupata zinaa nikamuuliza mke wangu akasema haelewi...
  10. escrow

    JamiiForums Tanzania Titizo la mtoto kunyonya anatoa sauti kama ya kwikwi

    Jf doctor naomba ushauri, mimi na mke wangu tumepata mtoto ambaye kwa sasa umri wake ni miezi 2. Mtoto huyu ana tatizo ambalo imekuwa ngumu kwetu kuelewa, ni kwamba akiwa ananyonya anatoa sauti kama vile kwikwi, hivyo bado ufahamu wetu kwenye tatizo hili hatuna. Jf doctor naomba ushauri ndugu...
  11. escrow

    JamiiForums Tanzania Somo la Stadi za Kazi ni muhimu kuliko Uraia

    Katika historia ya elimu yetu Tanzania kuliwahi kuwa na somo la stadi za kazi kwa shule za msingi ambalo lilikuwa msingi mzuri kwa wanafunzi waliokuwa na ndoto za ufundi. Somo hilo lilifutwa miaka kati ya 1997,1998,1999 na hakuna mbadala wake katika kuendeleza vipaji vya ufundi kwa wanafunzi wa...
  12. escrow

    JamiiForums Tanzania Tigo Tanzania ni wezi kama wezi wengine tu

    Kumbuka unapoongelea tigo unawasena vigogo yani mithili ya "ROST TAMU HIZI na Rais mmoja mstaafu wa Cuba" kwa mzee tutalia sana ila ukweli ndio huo.
  13. escrow

    JamiiForums Tanzania Vibendera vya Israel kwenye magari ya Wabongo

    Israel sio wakristo bali ni wa jewish, na wanaukata/ wanapinga ukristo, ni ushamba wa kiimani tu au kutojua ndio maana wanaweka hivyo vibendera.
  14. escrow

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo alikuwa anacheka kwenye msiba wa baba yake?

    Mimi najiuliza kwa nini anaitwa Joketi Mwengelo, Wakati baba yake ubini ni Ndunguru? Pia kwa nini alivaa nguo nyeupe na sio nyeusi?
Back
Top Bottom