Recent content by ESAM

 1. E

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Point of correction, I totally agree Mombasa port is bigger than Dar, but Dar port currently has 11 berths and not less than that
 2. E

  Wauza smartphone tukutane hapa

  YES nipo Dar ndugu yangu
 3. E

  Wauza smartphone tukutane hapa

  Nahitaji simu Ram kuanzia 2GB Rom kuanzia 32GB. Bajeti 150,000
 4. E

  Wauza smartphone tukutane hapa

  Hii bado unayo??
 5. E

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  hii ni kweli kutokana na location ya JNIA haina haja ya runway ndefu zaidi maaana inaweza kuhandle aina zote za ndege bila shida
 6. E

  Nimefulia wandugu, Mshahara Juni 2021 tayari?

  Daah n ami nimeona kwangu siioni kitu labda bado mwisho wa mwezi
 7. E

  Wauza smartphone tukutane hapa

  Hii simu naihitaji kama bado ipo, nipo Dar
 8. E

  Wauza smartphone tukutane hapa

  160000 nakupaa
 9. E

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  waache stand ikamilike wanakimbilia wapi hawa watu!!
 10. E

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Kudos KENYANS for masterpiece
 11. E

  Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

  Daraja la SGR Kamata naona linavunjwa, mwenye taarifa za namna watakavyolijenga upya atujuze
 12. E

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  nchi ya wapumbavu hii sijapata kuona
 13. E

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  nyumba kama hizi wanajenga matapeli na kuziuza kwa gharama kubwa, usipomshirikisha fundi kukagua jengo kabla ya kununua unakuwa umeumia sana tu
 14. E

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Geza what is this for in the thread like this, my friend
 15. E

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Ndugu Geza Mloganzila Hospital and MUHAS campus kwa ramani ipo Dar es Salaam, wala hakuna suala la mtu kuconvince, maana mpaka wa Kisarawe na Ubungo ni ile barabara ya kwenda Mloganzila
Top Bottom