Recent content by Eroza

  1. E

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba punguza wapambe ongeza washauri

    Wanawaumiza sana wananchi,dharau kibao..
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba punguza wapambe ongeza washauri

    Mbunge wa jimbo la Iramba magharibu napenda kukushauri buuure kabisa, hao watu unaowaita wasaidizi wako ni mizigo na ni kero kwa wapiga kura wako na watanzania kwa ujumla. Wanafanya kazi ya kukuridhisha wewe na kusahau kwamba wanatakiwa kukusaidia wewe kukuunganisha na wananchi, hawana mikakati...
  3. E

    JamiiForums Tanzania GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Wagombea wenzake ndani ya ccm wameendelea kupanic baada ya ushindi wa asilimia zaidi ya asilimia 90,JAIRO NA KILIMBA wameingia mitini mapema baada ya kuona hali ni tete..nipo jimboni nitaendlea kuwajuza.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Watu wanakwenda University/Chuo ili iwe nini?

    Unaweza kusoma mpaka ukamaliza vyuo vyote ukarudi na kujifanya unabuni miradi,miradi yenyewe eti small scale agriculture.. Ha ha ha ha ha hii ndo bongo dsm
  5. E

    JamiiForums Tanzania Nitazungumza na Watanzania kuomba ridhaa ya kuwania Urais

    Bwana mwgulu omba ridhaa uwe na uchungu na walalahoi maskini kwa moyo wa dhati kabisa,vjana 2nahangaika mtaani uku,mnaleta maneno ya ku2fariji then mnatuacha hewani...inauma sana
  6. E

    JamiiForums Tanzania Nitazungumza na Watanzania kuomba ridhaa ya kuwania Urais

    Haya bwana.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Watoto wafa Kanisani kwa Gwajima, Wazazi wao wapigwa butwaa

    Huyo ndio gwajma 2naemjua cc.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Lowassa, Membe out, Mwigulu ndani

    Huu ndio ukweli,kama huamini subiri.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Mambo magumu kwa Lowassa: Rostam achukua nafasi ya Apson

    Lowasa ndo nani?
  10. E

    JamiiForums Tanzania Uchawi: Hii ndio athari ya kutumia dawa ya kuona wachawi

    Ha ha ha haaa hii ndo bongo dar es salama
  11. E

    JamiiForums Tanzania Adam mchomvu aiponda zari all white party.

    Nimepunguza ukal mkuu,anasema eti imesababisha kushuka kwa dola,hatujajua why kaxema hvo
  12. E

    JamiiForums Tanzania Adam mchomvu aiponda zari all white party.

    Akizungumza ktk kipindi cha xxl amesema katuingzia hasara tu wakati dola inapanda.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Wazalendo wapo tayari kuichangia ACT-Wazalendo kukodisha Chopa kwa ajili ya mikutano

    Zito co level za mnyika. Mwaka huu chagadma mtahara xana,dogo kawaxhka pabaya
  14. E

    JamiiForums Tanzania Diana Chololo na Martha Mlata hawajawahi kurudi jimboni kusikiliza kero

    Hawa wabunge toka wachaguliwe hawajawahi kurudi kusikiliza kero za wapiga kura wao.UWT Iramba wamepania kuwapa dawa yao sio muda mrefu. Kazi kwenu.
  15. E

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu vicoba na namna ya kupata usajili wa vikundi hivi vidogovidogo

    Nenda ofisi za SUMATRA mkuu.
Back
Top Bottom