Recent content by Ernst kipire

  1. Ernst kipire

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya CHADEMA kusambaratika, Demokrasia imesitawi na kushamiri vizuri zaidi tanzania kuelekea Uchaguzi Mkuu wa October 29, 2025

    Masifa matandaoni mama anashinda njaa kijijn. Hopeless generation
  2. Ernst kipire

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia awatolea uvivu waliokebehi kifo cha Ndugai. Asema "Sisi tuko wengi kuliko nyinyi"

    Tulia yupo sahihi sana.Ni kweli kabisa watu wabaya ni wengi kuliko wema. Just a point.
  3. Ernst kipire

    JamiiForums Tanzania Nyerere alibainisha maadui wa Taifa letu kuwa ni Ujinga,umaskini na maradhi.Mimi naongeza na uchawi

    Nawasalimia wanajamvi Kwa jina la Mungu wetu mkuu(Yahweh). Iliwahi nikuliwa juu ya kauli ya mwasisi wa Taifa letu hayati Julious kambarage Nyerere,ambapo alisema,tukitaka kupiga hatua kama Taifa tunatakiwa Kuwa piga vita maadui zetu watatu (3) ambao ni Ujinga,maradhi na umaskini. Leo...
  4. Ernst kipire

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Wadangaji tuna Maisha mazuri kuliko Wanawake walio Ndoani

    Life is not all about material things,but spiritual and psychological peace. Hatuwezi kuhalalisha umalaya Kwa namna yyt ile
  5. Ernst kipire

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA imeponzwa na ujinga wa wanaharakati

    Umeongea Kwa hisia sana lkn umeongea Ujinga. Kwanz unazunguamzia wanaharakati ,ivi unaweza tuambia jukwaa la wanaharakati kufanyia harakt tofauti na ktk chama ktk nchi za kidemokrasia?. Unasema CHADEMA inakufa.kwa namna Gani? Chadema ni watu siyo nembo na ofisi.ukitaka kulijua hili jiulize...
  6. Ernst kipire

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mungu, ila kuna nguvu ya asili ambayo haina ukomo wala mwanzo

    Chanzo tafadhari
  7. Ernst kipire

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wa sasa hawajui kusex

    Zama zimebadilika bro..... Angalia namna mapenzi sahizi yanavyo chukuliwq..........unakulaje pipi kifua demu ana wanaume zaidi ya 4,Fungus is real bro.
  8. Ernst kipire

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Swali la history na English language niulize mimi
  9. Ernst kipire

    JamiiForums Tanzania Nawalilia waliopoteza maisha yao kipindi cha Mbowe wakipigania mageuzi kumbe haikuwa hivyo! Inasikitisha sana!

    Mbowe lazima atalipa alilo Fanya,anga na ardhi inanguvu ya haki na wakt wote imekuwa ikithibitisha Hilo.
  10. Ernst kipire

    JamiiForums Tanzania Je, tunaingia kwenye utaratibu mpya wa ulimwengu? Nafasi ya tanzania katika hizi changamoto za dunia ni ipi?

    Kuna haja serikali iwekeze sana katika kuimalisha Jeshi na uchumi huru. Porojo haziwezi kutasaidia chochote nyakati mbaya za machafuko ya kidunia.
  11. Ernst kipire

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani Tanzania Bado sana wanasafari ndefu

    No democracy
  12. Ernst kipire

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Punyeto inavunja ndoa yangu

    acha usenge piga tizi, acha kuangalia video za ngono ule ni usenge tu, tafuta marafiki wazuri watakao kushauri mambo positive, punguza kula fast food Kama chips, mayai mayai ili upunguze kilo. usipokuwa makini utadhalilika mchana kweupe. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Ernst kipire

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wa bite kwa wanaume wote ambao wanahitaji familia Bora na Imara

    Hbr Wana jamvi........ Natumai mu wazima wa afya, Amen. Leo naongea na wanaume wote lijali na ambao kesho wanahitaji kuwa na familia Bora yaani familia isiyo kuwa na kizazi Cha ovyo. Najua mnajua juu ya janga lingine ambalo linaikumba dunia kwa sasa, janga hili htr la ushoga, usagaji na tabia...
Back
Top Bottom