Mimi naamini kinacho-matter siyo status ya mtu anayetoa wala anayepokea zawadi bali kile kilichomo ndani ya moyo wa mtowaji ambacho kimemsukuma kutoa zawadi husika bila kujali thamani yake ya kifedha.
Mtu yule atoaye zawadi yenye thamani ya shilingi elfu moja kwa upendo wa dhati yu bora zaidi...
Thamani ya shilingi ya Tanzania imeendelea kuimarika na katika kipindi kinachoishia Aprili 2019, Dola moja ya Marekani ilibadilishwa kwa wastani wa Tsh. 2,300.9 ikilinganishwa na Tsh. 2,270.3 katika kipindi kama hicho mwaka 2018.
Hayo maelezo[emoji115][emoji115] kama hayajakosewa basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.