Kwa mimi nadhani MC ni msanii wa Hip Hop ambae anaweza kufreestyle kitu chochote hapohapo ambacho atambiwa a freestyle kwa wakati huo na mahali popote iwe kwenye interview or kwenye shows... mfano wa MC kwa Tanzania ni: Nikki mbishi, Marehamu Ngwea na GodZilla R.I.P... Fid Q , Nash MC nk...
Nilibahatika kufika hiyo Hotel kama mara mbili hivi,, tuache masihara umefanyika uwekezaji wa hali ya juu sana. Lazima ukifika pale kuna maswali utajiuliza juu ya maisha unayoishi na uchumi wako. Nadhani alichukua uamuzi wa haraka sana kuifanya hostel kwa hadhi yake ilivyo, ndani ya mwaka...
Hapo ungesema hizo ni Taasisi ambazo baadhi ya watu wanalipwa vizuri,, sababu siyo wote wanalipwa vizuri usije ukaleta ugomvi na familia za watu ndugu.
Hahaha mkuu nimecheka sana,, mkuu kuna mambo yalikuwa hayaja kaa sawa ndio maana nikaofia kuweka jina kwanza lakini sasa tuko sawa,,
Pesa nazo uwezi kuwa nazo kila wakati mkuu saa nyingine unaweza kulipia mizigo ya wateja ili kutopoteza wateja ukakuta huna hata mia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.