Recent content by ericmasue

  1. E

    JamiiForums Tanzania Tamu na chungu baada ya kujiunga na forever living products

    Hizi kampuni zote za network markerting kama hiyo ya forever ni utapeli mtupu, wanafanya biashara zao kwa kulazimisha mtu kununua bidhaa bila kujali huyo mtu atapataje soko. Kwanza bei za bidhaa zao ni kubwa ukilinganisha na bidhaa yenyewe, pia ni kwanini wampangie mtu kiasi cha bidhaa za...
  2. E

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Shida ya watanzania tuna ubinafsi na wivu, hivi na wewe hapo ulipochukulia huo umeme hakuna nguzo? pia kutoka huko kwenye chanzo cha umeme mpaka hapo ulipochukulia kuna nguzo ngapi? ungeambiwa ulipie na hizo nguzo ungejisikiaje? Kwaiyo unachotaka na atakayeunganisha kwenye nguzo ambayo...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kwa wanamazoezi ya kukimbia pembezoni mwa barabara tukutane hapa tujadili jambo

    Watu wanasema tufanye mazoezi kwenye vviwanja wanashindwa kuelewa viwanja ni tambarare, Ukikimbia barabarani kuna milima na mabonde jambo ambalo ni zuri kuliko viwanja pia hata mazingira yanabadilika kwenye macho ubongo nao unafanya kazi zaidi. Kikubwa ni kuchukua tahadhari tu kama Kuepuka...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Wanaodai Rais Magufuli hakuwa anapingwa ni waongo wakubwa

    Kweli
  5. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania According to your Ex, what was your main problem?

    Eti nimepoa kama kiporo cha ugali sina hata michepuko
  6. E

    JamiiForums Tanzania Vigezo na masharti ya kushiriki katika Stories of Change 2023

    Kama ni mgeni mpaka moderetor wairuhusu kuonekana ila kama sio mgeni muda huohuo inafika hewani
  7. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya Mahusiano ianze kutolewa shuleni

    umeona mbali sana,
Back
Top Bottom